EMO – Na Bado Lyrics

Chorus
EMO na bado the song, the heat from the speaker, the thread in your thumb,
Na bado make you dance all night long, na bado mapka watu watoa jasho,
Na bado tunabounce down to your soul, N.A.B.A.D.O.

Verse 1
Si wajua ngoma kama hizi zina bidi, kama bra si lazima ibebe mcshi,am ni vipi,
Sounds like chingy, lakini kwa Kiswahili,
Know I like the brick city, move to this beat until your body feels itchy,
Tichi Nyasani, Pinky Galani play hiyo ngoma, tuichunishe kwa gari,
Inje ya bandari, basket ya mandazi, tukizi teremusha na massages za safari,
Na bado, hii ni ya kila siku, kama chai fahari, kali sana ongeza Emo ni ka sukari,
Na bado ushai cheki mse uko, aki dance na mapach paralyzed in the arms na anamake clap,
A new sound, right from the gclap, center of the sound, can be heard by the deaf,

Chorus
EMO na bado the song, the heat from the speaker, the thread in your thumb,
Na bado make you dance all night long, na bado mapka watu watoa jasho,
Na bado tunabounce down to your soul, N.A.B.A.D.O.

EMO na bado the song, the heat from the speaker, the thread in your thumb,
Na bado make you dance all night long, na bado mapka watu watoa jasho,
Na bado tunabounce down to your soul, N.A.B.A.D.O.

Verse 2
Verse 2, You better recognize this MC know how to make you move and bounce to my flow,
We like them big, kilo tatu ya cargo, this beat can make you grow an afro,
Lazima mjue jina ni EMO, bro, na goma yenyewe ni nabado,
Weka keroro chini, step to this dance flow,
Coz this party is expected to exploed!

Chorus
EMO na bado the song, the heat from the speaker, the thread in your thumb,
Na bado make you dance all night long, na bado mapka watu watoa jasho,
Na bado tunabounce down to your soul, N.A.B.A.D.O.

EMO na bado the song, the heat from the speaker, the thread in your thumb,
Na bado make you dance all night long, na bado mapka watu watoa jasho,
Na bado tunabounce down to your soul, N.A.B.A.D.O.

Verse 3
Hii ni ngoma utakatika mpaka usikie kujikuna,
Yafanya wadada wazunguze cargo,ya nyuma,
Basi machali itabaki ngotha ni za chuma,
Like the way you do the do,dressed in the blue skirt,
Hawa wanasema na fuanana ka ESvenstura,
Leo appetizer ni pale spot ya mutura, au mvuke shake hapo Njuguna’s,
Nipe special sembe, mala na mbuta, ndizi na mashore, na mahewa utanikuta,
watenda,wachana na glass nitakunywa keroro kutoka kwa chupa,
napenda,vile unazungusha ni kama una agenda,
twapenda vile unazungusha chini kwa chini kwa sababu hii ngoma ni ya wakenya,

Chorus (till fade)
EMO na bado the song, the heat from the speaker, the thread in your thumb,
Na bado make you dance all night long, na bado mapka watu watoa jasho,
Na bado tunabounce down to your soul, N.A.B.A.D.O.

EMO na bado the song, the heat from the speaker, the thread in your thumb,
Na bado make you dance all night long, na bado mapka watu watoa jasho,
Na bado tunabounce down to your soul, N.A.B.A.D.O.

You cannot copy content of this page