EMO – So Hot Lyrics

Chorus
(so hot) Tukifukuzwa kwa club, tutaparty kwa parking, (so hot)
Dj niroge na bounce hapa ndani, watu wakisahau (so hot)
Hii track ni kali, utabaki umekubali (so hot)
EMO in the speaker, ongeza volume alafu wikaa!

Verse 1
Its moto, its blazing, its sizzling, its hot,
Ni hio, Ni mbio, its hot up  in this spot,
This will take you higher, than a bottle of scotch,
We beat up the me, coz you know we are so hot,
A new dance up ,basi hands up, ka huko hapa ndani basi wika its so hot,
EMO what, any closer, then shake it, shake your back side,
Moto ka makaa inawaka juu ya jiko,
Sema vitu ziko, chunisha hii kwa JVC, Sony na palito,
Wadii wakae litho, niwape chorus sita, washike pali niko,
Yafanya nyege zapanda, na kumbuka hii ni stanza ya kwanza, eh-eh,
Yafanya nyege zapanda, na kumbuka hii ni stanza ya kwanza, eh-eh,

Chorus
(so hot) Tukifukuzwa kwa club, tutaparty kwa parking, (so hot)
Dj niroge na bounce hapa ndani, watu wakisahau (so hot)
Hii track ni kali, utabaki umekubali (so hot)
EMO in the speaker, ongeza volume alafu wikaa!

Verse 2
Dada aki wink, utafanya aje, soma sign language man, vuka naye,
Mkarange na sound ya mandungu,
Ita bamba wadhii, kama banchu na njugam
Wika nami, hauwezi hifhadhi,
Agh, kitu gani, agh, kitu kali!
Ni kuhot hapa ndani, that’s a fact,
Tupe 3 seconds to adjust to that, mix ya kiswa na ngoso,
Nanini ana shida ka ni moto, ni moto,
Nanini atapinga wadhii, washi wanapenda muziki,
Bounce to a beat that is simply origin,
Shika mpaka wase wanakinda mahindi,
Addictive kama njugu za wahindi,
Hii lazima itawatoa baridi kwa mwili, na kufanya watu wachizi,

Chorus
(so hot) Tukifukuzwa kwa club, tutaparty kwa parking, (so hot)
Dj niroge na bounce hapa ndani, watu wakisahau (so hot)
Hii track ni kali, utabaki umekubali (so hot)
EMO in the speaker, ongeza volume alafu wikaa!

Verse 3
Cant understand that the flow is sick, the song is so hot and so is the script,
Turn on the volume quick, as this boy is sleek,
Them asking his name and whose boy is this,
So we skip,
Yafanya unaruka mpaka, flow ni ya ngoso, kiswa na kijaka,
Labda jina mbili, hii kubamba wakamba,
Watu wabanjuka mpaka rasa za ganda,
Kumada stanza, na watwanga na vitu zina bamba,

(let’s dance, let’s dance)

Chorus
(so hot) Tukifukuzwa kwa club, tutaparty kwa parking, (so hot)
Dj niroge na bounce hapa ndani, watu wakisahau (so hot)
Hii track ni kali, utabaki umekubali (so hot)
EMO in the speaker, ongeza volume alafu wikaa!

(so hot) Tukifukuzwa kwa club, tutaparty kwa parking, (so hot)
Dj niroge na bounce hapa ndani, watu wakisahau (so hot)
Hii track ni kali, utabaki umekubali (so hot)
EMO in the speaker, ongeza volume alafu wikaa!

You cannot copy content of this page