Emmachichi – Chakutumaini Lyrics

Verse1
Chakutumaini sina, ila damu yake bwana,
sina wema wa kutosha, dhambi zangu kuziosha,

Chorus
kwake yesu na simama, ndiye mwamba ni salama,
ndiye mwamba ni salama,

Verse 2
jia yangu iwe ndefu, yeye hunipa wokovu,
mawimbi yakinipiga, nguvu zake ndiyo nanga,

Verse 3
damu yake na sadaka, nategemea daima,
yote chini yakiisha, mwokozi ata nitosha,

verse 4
nikiitwa hukumuni, rohoni nina amani,
nikivikwa haki yake, sina hofu mbele zake,

Verse 5
jia jia yangu iwe ndefu, yeye hunipa wokovu,
mawimbi yakinipiga, nguvu zake ndiyo nanga,
jia yangu iwe ndefu, yeye hunipa wokovu,
mawimbi yakinipiga, nguvu zake ndiyo nanga,

Chorus
kwake yesu na simama, ndiye mwamba ni salama,
ndiye mwamba ni salama,
kwake yesu na simama, ndiye mwamba ni salama,
ndiye mwamba ni salama,

kwake yesu na simama, ndiye mwamba ni salama,
ndiye mwamba ni salama,
kwake yesu na simama, ndiye mwamba ni salama,
ndiye mwamba ni salama,

You cannot copy content of this page