Emachichi – Mpokee yesu Lyrics
Mpokee Yesu maishani mwako akusamehe makosa yako, abariki mahitaji yako,
Mpokee Yesu, Mpokee Yesu uokolewe!

Fedha na mali, ni mali yake, akuna kitu asichoweza, kumbuka vipi maisha yako,
Mpokee Yesu, Mpokee Yesu uokolewe!
Mpokee Yesu maishani mwako akusamehe makosa yako, abariki mahitaji yako,
Mpokee Yesu, Mpokee Yesu uokolewe!
Mpokee Yesu maishani mwako akusamehe makosa yako, abariki mahitaji yako,
Mpokee Yesu, Mpokee Yesu uokolewe!
Yeye ndiye mwanzo tena mwisho, ni mchungaji anaye chunga, umkabithi maisha yako,
Mpokee Yesu, Mpokee Yesu uokolewe!
Mpokee Yesu maishani mwako akusamehe makosa yako, abariki mahitaji yako,
Mpokee Yesu, Mpokee Yesu uokolewe!
Mpokee Yesu maishani mwako akusamehe makosa yako, abariki mahitaji yako,
Mpokee Yesu, Mpokee Yesu uokolewe!
Mpokee Yesu maishani mwako akusamehe makosa yako, abariki mahitaji yako,
Mpokee Yesu, Mpokee Yesu uokolewe!
Mpokee Yesu maishani mwako akusamehe makosa yako, abariki mahitaji yako,
Mpokee Yesu, Mpokee Yesu uokolewe!
Mpokee Yesu maishani mwako akusamehe makosa yako, abariki mahitaji yako,
Mpokee Yesu, Mpokee Yesu uokolewe!
Post Views: 637