Em-Joh and Kroma B – Pande zote Lyrics

CHORUS LYRICS:
Kwa kweli nilimpata nikiwa cole,
Binti msupa sana tena mpole,
mapozi zake saa zingine simtaki ye’e eh eh,
Juu ucuhngu ye’e hunipa mapenzi nimwachie,
Sio kaa hii,penzi la dhati mi’i nataka ya mashaka,
Noorah penzi hutoka pande zote,
Sio kaa hii,penzi la dhati mi’i nataka ya mashaka,
Noorah penzi hutoka pande zote,

VERSE 1 LYRICS:
Nakumbuka kitambo mummy ulikua so fine,
Ulinicare hamna aliye kublind,
kunipigia mi,i simu kuonysha you mind,
Nikija nyumbani moodless ulitaka kujua sababu,
Nguo zangu uliosha bila kazi zote kukuchosha,
eh eh eh..iii eh..eee baibe,
Nguo zangu uliosha bila kazi zote kukuchosha,
mmmh Ma ma ma ma ma ma ma mameeee,

CHORUS LYRICS:
Kwa kweli nilimpata nikiwa cole,
Binti msupa sana tena mpole,aha
mapozi zake saa zingine simtaki ye’e eh eh,
Juu ucuhngu ye’e hunipa mapenzi nimwachie,
Sio kaa hii,penzi la dhati mi’i nataka ya mashaka,
Noorah penzi hutoka pande zote,
Sio kaa hii,penzi la dhati mi’i nataka ya mashaka,
Noorah penzi hutoka pande zote,

VERSE 2 LYRICS:
Ningesema ninyimwe hewa badala yake,
Msukosuko heri kwangi ye’e raha apate,
Now sometimes ninashindwa hata tulijuanaje,
Nilimweka kithamani kaniona mvuke,
kan’vunja courage ya kila nilichofanya,
kan’vunja courage ya hata kuandika ngoma,

CHORUS LYRICS:
Kwa kweli nilimpata nikiwa cole,
Binti msupa sana tena mpole,aha
mapozi zake saa zingine simtaki ye’e eh eh,
Juu ucuhngu ye’e hunipa mapenzi nimwachie,
Sio kaa hii,penzi la dhati mi’i nataka ya mashaka,
Noorah penzi hutoka pande zote,
Sio kaa hii,penzi la dhati mi’i nataka ya mashaka,
Noorah penzi hutoka pande zote,

VERSE 3 LYRICS:
Jinsi nakuona we’e ni mtoto mzuri,tena
Kwenye mapenzi unaoneka mashuhuri,ila
Ni kama unacheza njoo nikueleze,
ukipenda vuguvugu zangu hautaweza,
Unajua uko special basi unikee,
Nikiwa nazama ndani wachanielekee,
nipe zote zinifae mi kachela,Kila nikija kwako nionjeshe,
Kama ndivyo unapenda njoo basi nikuimize,
Jinsi nataka maishani mwangu upendeze,
Nishakupenda kwani huu tofauti na wenzako,
Sio kwa paja na matiti kuna mengi kwako,
Unakumbuka ni wangapi ushaakulia vako,
Kwa vile uko na blar’k usitie ng’ako,
Unipe nikupe nikupe unipe nkupe unipe unipe nkupe,
nkupe unipe Wasionje kupe,

CHORUS LYRICS:
Kwa kweli nilimpata nikiwa cole,
Binti msupa sana tena mpole,
mapozi zake saa zingine simtaki ye’e eh eh,
Juu ucuhngu ye’e hunipa mapenzi nimwachie,
Sio kaa hii,penzi la dhati mi’i nataka ya mashaka,
Noorah penzi hutoka pande zote,
Sio kaa hii,penzi la dhati mi’i nataka ya mashaka,
Noorah penzi hutoka pande zote

You cannot copy content of this page