E-Sir – Moss Moss Lyrics

Jasho yatiririka
Moyo wapiga
Kila mtu
Anawika
Hajui vile ya kusema
Mahewa tunapewa

Moss moss
Moss moss
(Pole pole) moss moss
(Twazienda) moss moss
Haraka haraka haina baraka

Nani mwingine mwaambiwa Kenya nzima kama mimi
Mwenye kushika mic na kuwapa kiswahili
Sure
Rhymes zikitua
Rhymes zapasua vifua (fafanua)
Na safari hii ma MC nawaombea dua

Nikiwa-hit kwa industry niki-maneouver
Kama mvua nanyesha mahewa nikileta wako wengi lakini it’s obvious I’m better
It’s hot in here, hot in here
Tumeshika mic, karibia
Brother kamata
Sister kata
Kiuno kwa mdundo na huu ndio mtindo

Moss moss
Moss moss
(Pole pole) moss moss
(Twazienda) moss moss
Haraka haraka haina baraka

And thanks to Ogopa’s guidance
There’s no defiance
Navuta more crowds than Rainbow Alliance
Wakiuliza, sema ni E-Sir
Ameshika na kuturoga kabisa
Ni mahewa
Mahewa tunapewa
Na kukatika na hizi ngoma
Basi
Twazicheza na mpango
Twazicheza mpaka jasho

Jasho yatiririka
Moyo wapiga
Kila mtu
Anawika
Hajui vile ya kusema
Mahewa tunapewa

Moss moss
Moss moss
(Pole pole) moss moss
(Twazienda) moss moss

Haraka haraka haina baraka

You cannot copy content of this page