Duncan Wambua – Nikupe nini Mwokozi Lyrics
CHORUS LYRICS:
Nikupe nini Baba, nikupe nini
kwa yale yote Baba umenitendea
Nikupe nini Baba, nikupe nini
kwa yale yote Baba umenitendea
VERSE 1 LYRICS:
Umeniokoa Baba nakutukuza
Ninalisifu jina lako Mwokozi
Umenishindia Baba kitakaji roho
Nakuinua Baba, nakuabudu
CHORUS LYRICS:
Nikupe nini Baba, nikupe nini
kwa yale yote Baba umenitendea
Nikupe nini Baba, nikupe nini
kwa yale yote Baba umenitendea
VERSE 2 LYRICS:
Kwa nyumba yangu Masia nimekuona
Umeyatenda mambo ya ajabu
Kwa kazi yangu Baba nimekuona
Nina shuhuda ya kwamba Unainua
CHORUS LYRICS:
Nikupe nini Baba, nikupe nini
kwa yale yote Baba umenitendea
Nikupe nini Baba, nikupe nini
kwa yale yote Baba umenitendea
VERSE 3 LYRICS:
Waliokataliwa Baba Unawapenda
Uliwaokoa Baba wakuabudu
Waliomavumbini Baba uwainue
Walitukuze Jina Lako Mwokozi
CHORUS LYRICS:
Nikupe nini Baba, nikupe nini
kwa yale yote Baba umenitendea
Nikupe nini Baba, nikupe nini
kwa yale yote Baba umenitendea
Nikupe nini Baba, nikupe nini
kwa yale yote Baba umenitendea
Nikupe nini Baba, nikupe nini
kwa yale yote Baba umenitendea
Nikupe nini Baba, nikupe nini
kwa yale yote Baba umenitendea
Nikupe nini Baba, nikupe nini
kwa yale yote Baba umenitendea
Post Views: 184