Dry Gin and Frakaz – Man U na Arsenali Lyrics

Chorus
kati ya Man U na Arsenali
ni gani kali kati ya Man U na Arsenali
kati ya Man U na Arsenali
ni gani kali kati ya Man U na Arsenali
kati ya Man U na Arsenali
ni gani kali kati ya Man U na Arsenali
kati ya Man U na Arsenali
ni gani kali kati ya Man U na Arsenali

Verse 1
swali bado ni je
gani kali msee
kati ya Man U na Arsenali utawezana msee
sub ni ya kiwete tu kipofu na maiti
Henry
Arsenali nyi hamtoshi
203 mpaka 204
gani kati yenu hapa ana say kizee
kwenye league I say
mna-say wasee
basi Arsenali eeh
Arsenali aah
Arsenali eeh
Arsenali wee nyamaza
Highbury defence yenu ghost ka Mulee
champions hu-lose
Vieira 
captain mzee ama ujuzi
Man U tuko hapa twanyosha mikono juu
Arsenali mta-do
mta-do
mbona pupa na Gunners wasupa
tukishinda je ligi 
chupa ni kutupa

Chorus
kati ya Man U na Arsenali
ni gani kali kati ya Man U na Arsenali
kati ya Man U na Arsenali
ni gani kali kati ya Man U na Arsenali
kati ya Man U na Arsenali
ni gani kali kati ya Man U na Arsenali
kati ya Man U na Arsenali
ni gani kali kati ya Man U na Arsenali

Verse 2
Wayne Rooney boy
van Nistelrooy
Christiano Ronaldo hatari kwenye lango
wee ni Arsenali ama Man U damu
swali tukuulize ndio nipate jibu
pende usipende hapa bado si United
dot com Old Trafford Red Devils na bado
Arsene Wenger wetu kocha game plan ni gani
label jersey O2 mafans na bado
kaa kando pale pale pale
Man mambo pole pole pole
pole pole pole ndio mnageuza mtindo
sorry sorry sorry ndio utageuza wimbo
vunja mifupa jo Alex bado Ferguson
vunja mifupa tu
Heinze vunja Henry
kushikana shati ref haiwezi kuwa possible
Man U Arsenali chunga isikuwe personal

Chorus
kati ya Man U na Arsenali
ni gani kali kati ya Man U na Arsenali
kati ya Man U na Arsenali
ni gani kali kati ya Man U na Arsenali
kati ya Man U na Arsenali
ni gani kali kati ya Man U na Arsenali
kati ya Man U na Arsenali
ni gani kali kati ya Man U na Arsenali

Verse 3
na hii ni ya
Harambee stars
tangu enzi za Kadenge si Oliech ni star
tumekam kushangilia
mawe mkono ya kulia
tuki-reminisce ka ni Gor ama ni AFC
vipi wadhii
mnakumbuka hizo enzi
karao mafarasi ma-teargas after us
top ya Arsenali naona Gidi ana yake
Maji ana-rebel 
Manchester ndio kwake
Raila Arsenali mashabiki cheki hali
JJ Kamotho akiwa fan wa Man damu
Bernard Otieno anawa-show defence unchengable
watu unbwogable 
kila kitu possible’
wasee kwa mtaa
ni hit jamaa
home support inabidi juu Harambee ni Star
Harambee mkicheza sisi tutawapa sifa
bora mpate rules
sana sana hizo za FIFA

Chorus
kati ya Man U na Arsenali
ni gani kali kati ya Man U na Arsenali
kati ya Man U na Arsenali
ni gani kali kati ya Man U na Arsenali
kati ya Man U na Arsenali
ni gani kali kati ya Man U na Arsenali
kati ya Man U na Arsenali
ni gani kali kati ya Man U na Arsenali

You cannot copy content of this page