DNG – Mpenzi Lyrics
CHORUS LYRICS:
Mpenzi we, minakupenda
nashukuru Mola kwa kutuleta pamoja
siku ya ndoa nitangoja
kwani we ni penzi langu namba moja
Mpenzi we, minakupenda
nashukuru Mola kwa kutuleta pamoja
siku ya ndoa nitangoja
kwani we ni penzi langu namba moja
VERSE 1 LYRICS:
I'm just remembering the day when we first met
you caught me looking at you when our eyes met
it was like I was in another planet
where the lillys have grown and trees dancing like a banquet
I was in my own world running around dancing
coz the way you looked gave me joy till the evening
it got worse when I found myself walking towards you
couldn't control all my feelings about you
not even knowing how I was going to approach you
didn't care if I was gonna get dissed coz deep inside I had a good feeling about this
looking at you personaly so warm and so simple,your beutiful smile, got a glimpse of your dimples
this is a movie for sure, what's the sequel, since i met you, you put my heart in a peaceful life changes
si you introduce me
CHORUS LYRICS:
Mpenzi we, minakupenda
nashukuru Mola kwa kutuleta pamoja
siku ya ndoa nitangoja
kwani we ni penzi langu namba moja
Mpenzi we, minakupenda
nashukuru Mola kwa kutuleta pamoja
siku ya ndoa nitangoja
kwani we ni penzi langu namba moja
VERSE 2 LYRICS:
Ukiona cha enea jua kimeumbwa, kwani umeumbwa ukaumbika
nikikucheki mate yamwagika, jasho jembamba linatiririka
sijui ni nini umenilisha, ama ni nini umenishikisha
haina shida mimi sina shida, furaha tu, kwangu ni kubambika
unaniua polepole tu, kila siku kunimaliza tu
unanitatiza na mienendo tu, damu kuharakishwa na ni wewe tu
ukiona nateseka wanicheka tu, umenipangua na tabasamu tu
ni sawa tu, mimi silalamiki, pamoja tutaishi milele wewe na mimi
CHORUS LYRICS:
Mpenzi we, minakupenda
nashukuru Mola kwa kutuleta pamoja
siku ya ndoa nitangoja
kwani we ni penzi langu namba moja
Mpenzi we, minakupenda
nashukuru Mola kwa kutuleta pamoja
siku ya ndoa nitangoja
kwani we ni penzi langu namba moja
VERSE 3 LYRICS:
Nisikuvako wewe umenibamba, ulizaliwa binti ndio request ya kubamba
kila ulichonipa kimenibadilisha, umenivutia na kisicho kawaida
ningekuwa mjinga kama ningelenga, dhahabu ningekuwa nimepoteza
si vako Mola Ananipenda, kwani huoni vile Ananipanga
nakupenda mithili ya Mluhya na ketepa, kandanda ningecheza uliza Jembajemba
umenifanya ata wimbo hutoshi, wastahili muda kama safari ya gari moshi
kwa lugha huoni wafaa kuwa na mimi, wanaume kama mimi ndio wastahili
kijana janja si kama wa jiji, atakudharau mi nitakuthamini
Wewe ni penzi langu namba moja
Wewe ni penzi langu namba moja
Wewe ni penzi langu namba moja
Wewe ni penzi langu namba moja
Wewe ni penzi langu namba moja
Wewe ni penzi langu namba moja
Wewe ni penzi langu namba moja
CHORUS LYRICS:
Mpenzi we, minakupenda
nashukuru Mola kwa kutuleta pamoja
siku ya ndoa nitangoja
kwani we ni penzi langu namba moja
Mpenzi we, minakupenda
nashukuru Mola kwa kutuleta pamoja
siku ya ndoa nitangoja
kwani we ni penzi langu namba moja
Mpenzi we, minakupenda
nashukuru Mola kwa kutuleta pamoja
siku ya ndoa nitangoja
kwani we ni penzi langu namba moja
Mpenzi we, minakupenda
nashukuru Mola kwa kutuleta pamoja
siku ya ndoa nitangoja
kwani we ni penzi langu namba moja
Post Views: 244