Daudi Kabaka – Kilio Kwetu Lyrics
kupendana twapendana na ndugu
mapenzi yetu ya miaka nyingi ooh
tukaagana akienda nyumbani kwetu
na kumbe naye anakwenda kufa
rafiki zangu, kilio nalia
mawazo mengi, na machozi ooh
huzuni sana, Kabaka ninayo
hata wazazi hawana raha ooh
nilipofika, pale Kaimosi
kasikia kilio ng’ambo kwetu
papa na mama, wakilia
kukole nina, Monyani weru
Tony Monyani, alipokufa
kufika kapata, wamemzika
nililia sana, kauliza wazazi
mngeningoja nikamwone ooh
Tony Monyani, alipokufa
kufika kapata, wamemzika
nililia sana, kauliza wazazi
mngeningoja nikamwone ooh