Daddy Owen ft. Danco and Nyuki Ndogo – Yesu Alisema Lyrics

Daddy Owen ft. Danco and Nyuki Ndogo – Yesu Alisema Lyrics

Intro (Daddy Owen)
Twende kazi
mambo mbaya
chorea

Chorus (Danco)
yesu alisema wacheni watoto wote waje kwangu
hakuna kumwona mfalme mpaka upate yesu 
yesu alisema wacheni watoto wote waje kwangu
ufalme watenganishwa
na yule mushetani

Verse 1 (Daddy Owen)
Shetani kweli hauna chako
nishagundua mambo na lengo lako
staki vibes zako na story zako
kwa maana ukicheki hauna lako
nishakuona kidarubini
umeuma vako ni ka tumbili
ukichekicheki tuko wawili
ni mimi na yesu sio kimwili
alafu Isaka na Yakubu
Musa na Elia
Elisha na Daudi
na ni yeye nayeshua
alafu tena ni Paulo 
Samsoni na Isaiah

Chorus (Danco)
yesu alisema wacheni watoto wote waje kwangu
hakuna kumwona mfalme mpaka upate yesu 
yesu alisema wacheni watoto wote waje kwangu
ufalme watenganishwa
na yule mushetani

Verse 2 (Nyuki Ndogo)
Everybody look for Messiah
usitafute shetani
ye ndie fire
unayotaka wee utayapata
ukitafuta shetani wee utahata
rukaruka
piga nduru
look for a place manze tumwabudu
mi nashika mike nikiapa
vile Jemedari amenibamba
sitahaata wee kumwabudu
usiku mchana bado namwabudu
ye pekee ndiye anipa uhuru
basi asante nashukuru
ni mimi na wee kila wakati nakuabudu 
yea yea nakuabudu
ni mimi na wee kila wakati nakuabudu 
yea yea Nyuki Ndogo

Chorus (Danco)
yesu alisema wacheni watoto wote waje kwangu
hakuna kumwona mfalme mpaka upate yesu 
yesu alisema wacheni watoto wote waje kwangu
ufalme watenganishwa
na yule mushetani

Verse 3 (Nyuki Ndogo)
Niko hapa
tena pale
ndio mjue Jesus Christ anipenda
ananibamba
ananikwachu na bado niko strong sikuwachi
mazee nilikuwa na shida
shetani alikuwa akiniwinda
usiku na mchana bado niko na shida
hakuwa anataka nikae poa
back kwa shida 
hii ni story ya mine 
ndio life ya mine
venye adui ameni-trail
aah Mungu Baba narudisha shukrani kwa kunipa hii wakati

(Danco)

Simama imara
Yesu ako nawe
Simama imara
Yesu ako nawe

Chorus (Danco)
yesu alisema wacheni watoto wote waje kwangu
hakuna kumwona mfalme mpaka upate yesu 
yesu alisema wacheni watoto wote waje kwangu
ufalme watenganishwa
na yule mushetani

Yesu alisema…

You cannot copy content of this page