Daddy Owen feat Dunco – Dasta Lyrics
CHORUS LYRICS:
Tunazipiga dasta maneno zao
tunazipiga dasta maneno zao
tunazipiga dasta fikira zao
tunaziga dasta...
tunazipiga dasta maneno zao
tunazipiga dasta fitina zao
tunazipiga dasta fikira zao
tunaziga dasta...
VERSE 1 LYRICS:
Nikinyamaza wanamisemo
nikingea wananichonga
nikituliza wana mikwazo
na nikilala waniamsha
lakini sasa mimi nimechoka sana
kusikiza zao, nimeamua kupiga dasta
CHORUS LYRICS:
oweeo, niakusifu ata waseme nini
oweeo, sibanduki ata wafanye nini
oweeo, nitakufwata na nitapata nyingi
oweeo, nipe dasta tumalize hii kazi
VERSE 2 LYRICS:
Tumezipiga dasta maneno zao
tumezipiga dasta fitina zao
tumezipiga dasta fikira zao
tumezipiga dasta, tumezipiga dasta dasta...
tumezipiga dasta dasta...
Niacheni mimi
nihubiri mimi, niacheni mimi
Post Views: 148