Colonel Mustafa ft Alisha Popat – Mena pyaar Kiya(I have loved) Lyrics
VERSE 1 LYRICS:
Nyumbani kwa dem yangu wanaabudu sanamu
wakati kwetu tunaabudu Mungu
tunakula nyama, wao ni vegeterians
so kwao wakiniona wanaona mimi ni Satan
kwa dem yangu wanaabudu sanamu
wakati kwetu tunaabudu Mungu
tunakula nyama, wao ni vegeterians
so kwao wakiniona wanaona mimi ni Satan
Kuna tofauti ya mila na desturi
ndio imefanya tuwe mbali mi na we
usingizi sipati pia yeye halali mawazo ah ah halali
wazazi wetu washasema no, mimi na dem hatujui la kufanya
tukioana tunaweza pata laana, na baraka yako baba na mama
CHORUS LYRICS:
Mena pyaar kiya, songa
Mena pyaar kiya, songa
narjiburu
Mena pyaar kiya, songa
Mena pyaar kiya, songa
narjiburu
VERSE 2 LYRICS:
Dunia imegeuka au niseme vipi
holiday yao diwali, kwetu sisi ni Idd-ul-Fitri
shida ni ya mila na dini
dem wangu kwao wanapenda pilipili
ni asili yao toka akiwa mkidi
mama yangu hapendi kula pilipili
anasema eti itamuumiza ulimi
vipi, sitaki kupoteza huyu binti
wazazi wetu washasema no, mimi na dem hatujui la kufanya
tukioana tunaweza pata laana, na baraka yako baba na mama
CHORUS LYRICS:
Mena pyaar kiya, songa
Mena pyaar kiya, songa
narjiburu
Mena pyaar kiya, songa
Mena pyaar kiya, songa
narjiburu
Naona issue kila kona
no we can't be, no we can't be
wazazi wanaleta noma
I wish it was so easy
kila kona kuna noma
no we can't be, no we can't be
wanasema hatuwezi make
ati hiyo pressure hatuwezi take
Naona issue kila kona
no we can't be, no we can't be
wazazi wanaleta noma
I wish it was so easy
kila kona kuna noma
no we can't be, no we can't be
wanasema hatuwezi make
ati hiyo pressure hatuwezi take
VERSE 3 LYRICS:
Fahari wakipigana nyasi zaumia
tumewaongelesha tukawabembeleza but
wazazi hawataki kuskia
I wish kama tungekuwa na dini moja
by now tungekuwa tumeshafunga ndoa
sioni nikiishi bila wewe nikikulose
sioni nikiishi bila wewe
CHORUS LYRICS:
Mena pyaar kiya, songa
Mena pyaar kiya, songa
narjiburu
Mena pyaar kiya, songa
Mena pyaar kiya, songa
narjiburu
Naona issue kila kona
no we can't be, no we can't be
wazazi wanaleta noma
I wish it was so easy
kila kona kuna noma
no we can't be, no we can't be
wanasema hatuwezi make
ati hiyo pressure hatuwezi take
Naona issue kila kona
no we can't be, no we can't be
wazazi wanaleta noma
I wish it was so easy
kila kona kuna noma
no we can't be, no we can't be
wanasema hatuwezi make
ati hiyo pressure hatuwezi take
Post Views: 266