Collo feat Didge – Masupa Lyrics
VERSE 1 LYRICS:
Nina msupa Odierpo AKA mzungu
kucheka joke yoyote ata ka si ya nguvu
co-ordination blanda kwa dance floor bana
ye ni msupa wangu ata ka hana haga
nina msupa mwindi, AKA panthre
spicy girl itabidi nimhande
you gotta kiss this girl when she comes for yah
msupa mblack, my African Qween
kimwili amefurishwa na anapenda mabling
ni muinquizitive, ana dhamana
ya hali ya juu, namwita Miss Biashara
nina msupa mwingine point five
she cant decide if she's black or white
cross breed nampenda tena sana kwa dhati
mixture ya mbabi na mnati
so nina ka pointi, mpanthre, mlami, mwafrika
so ninaspin, ninakoroga nashiba
kila blonde moment nabreach the gap
Colonel aliniapoint kama wa rap
CHORUS LYRICS:
Nina masupa kinyau, masupa kibao
masupa kishenzi
masupa ninao, masupa nihao
masupa huwezi
Nina masupa kinyau, masupa kibao
masupa kishenzi
masupa ninao, masupa nihao
masupa huwezi
VERSE 2 LYRICS:
Ninamwingine msevdi ninamwotea
hunipatia injili ati nimepotea
na vile ninaona, ananichorea
ju kila napomwomba ananiombea
mwingine ni baruta baruta, jeans zake huzusha kuzusha
kimbele mbele, mchuzi wa jogoo kiherehere anapenda kudabu za koroo
nikona model, so onpoint
mzuri lakini jikoni ye hunidissapoint
zake ni red carpet, shorty is a ten
msupa wa ghetto, kanipenda tangu enzi za klepto
kwake ndio moyo wangu bado iko
kisu kikali, Inshallah mi na ye hadi kifo
so nina model, wa ghetto, mwokovu, baruta
nani anang'aa ka mimi?
Sir Jah Amenibless na washee wa hali ya juu
ghetto fabulous nataka msupa mtrue
CHORUS LYRICS:
Nina masupa kinyau, masupa kibao
masupa kishenzi
masupa ninao, masupa nihao
masupa huwezi
Nina masupa kinyau, masupa kibao
masupa kishenzi
masupa ninao, masupa nihao
masupa huwezi
VERSE 3 LYRICS:
Nina msupa hukaa tu ndee
na pia kuna yule working class
kuna yule ni asset, yule liability, mshamba na pia wa class
nina yule msupa heart breaker, paranoid na pia yule mwongo
nina msupa wa Rwanda, msupa wa Kenya, msupa Uganada ata pia Bongo
nina msupa mwingine home maker, na mwingine anapenda kufight
nina msupa naive, msupa freak, ni mpoa ye hunitaka all night
CHORUS LYRICS:
Nina masupa kinyau, masupa kibao
masupa kishenzi
masupa ninao, masupa nihao
masupa huwezi
Nina masupa kinyau, masupa kibao
masupa kishenzi
masupa ninao, masupa nihao
masupa huwezi
Post Views: 174