Circute & Dunco – Cha Kutumaini Lyrics
Chorus (Dunco)
cha kutumaini sina
ila damu yake Bwana
sina wema wa kutosha
dhambi zangu kuziosha
kwake Yesu nasimama
ndiye mwamba ni salama
ndiye mwamba ni salama
ndiye mwamba ni salama
Verse 1 (Circute)
wewe
wazeiya can I halla, can I halla
tafadhali washa king’ora, washa king’ora
kina Wanjiku, wako
Bwana Yesu anametameta
amenibariki hadi vidole zangu zinacheka
yeah, Yesu my desire
Holy Ghost, fire
umefunga macho zangu na pingu
tuziangalie dhambi na hiyo ni fire
Yesu nakupenda kama kanisa moto
mapenzi yako si ya mkopo
wewe ni, Jehovah Jaireh
Jehovah Jaireh
Jehovah Jaireh
Jehovah Jaireh
Chorus (Dunco)
njia yangu iwe ndefu
yeye hunipa wokovu
mawimbi yakimikika
nguvu zake ndiyo nanga
kwake Yesu nasimama
ndiye mwamba ni salama
ndiye mwamba ni salama
ndiye mwamba ni salama
Verse 2 (Circute)
hodi hodi hodi
hodi hodi hodi
ni nani? Ni Yesu mlangoni
vile magilasi zavunjika
pigia Yesu makelele, vigelegele
ati wanangoja ni-backslide
endelea kungoja, endelea kubonga…
ati wata-do what?
watashangaa
niko pamoja na Yesu kama mugumo tree na mchanga
devo akinicheki
ana-disappear kama paka imenyeshewa
Mungu Ebenezer
Mungu Ebenezer
Mungu Ebenezer
Chorus (Dunco)
damu yake na sadaka
nategemea daima
yote chini yakiisha
mwokozi atanitosha
kwake Yesu nasimama
ndiye mwamba ni salama
ndiye mwamba ni salama
ndiye mwamba ni salama
Verse 3 (Dunco)
nikiitwa ukunguni
rohoni nina amani
nikifikwa haki yake
sina hofu mbele zake
nikiitwa ukunguni
rohoni nina amani
nikifikwa haki yake
sina hofu mbele zake
rukia Kristo ruka…