Chikuzee – Njaa Lyrics
CHORUS LYRICS:
Njaa inauma kwani ni nani mwenye asiyejue
nasema njaa inaua kwani ni nani mwenye asiyejue
nasema njaa inauma tunateseka na njaa Kenya
VERSE 1 LYRICS:
Kila siku tunatafuta kinachotafutwa hakionekani
kila siku tunatafuta kinachotafutwa hakionekani
wametuahidi vitu vikubwa havionekani eeh
tumechoka kunyanyaswa mnatuona tunakufaa na njaa bure
ni kilio changu Kenya yetu kwani imezidi eeh
ni kilio changu Kenya yetu kwani imezidi eeh
viongozi wetu starehe wamezifanya nyingi eeh
na mmesahau njaa imevuka mpaka
CHORUS LYRICS:
Njaa inauma kwani ni nani mwenye asiyejue
nasema njaa inaua kwani ni nani mwenye asiyejue
nasema njaa inauma tunateseka na njaa Kenya
VERSE 2 LYRICS:
Ukienda kusini kuna watu wanakufa na njaa
ukienda Tanzania kuna watu wanakufa njaa eeh
ukienda Congo kuna watu wanakufaa njaa
ukienda Sarire kuna watu wanakufa njaa
ukienda Somalia kuna watu wanakufa njaa eeh
mpaka Uganda kuna watu wanakufa njaa
njaa imezidi kila kona ya mkoo nasema aisee
penda nchi yako kubwa kweli muhimu eeh
usisahau Kenya yetu ni lazima tuangalie maswala ya njaa
CHORUS LYRICS:
Njaa inauma kwani ni nani mwenye asiyejue
nasema njaa inaua kwani ni nani mwenye asiyejue
nasema njaa inauma tunateseka na njaa Kenya
VERSE 3 LYRICS:
Tuungane, tushikamane, pamoja, mimi na we
tuwajibike tuishinde njaa
CHORUS LYRICS:
Njaa inauma kwani ni nani mwenye asiyejue
nasema njaa inaua kwani ni nani mwenye asiyejue
nasema njaa inauma tunateseka na njaa Kenya
Post Views: 168