Chikuzee – Mapenzi Lyrics
VERSE 1 LYRICS:
We ni jinsi gani unavyompenda sana yule mtoto
weh anavyokupenda, unavyompenda
anavyokupenda nahisi we huoni
hauwezi kulala hawezi kula, unapendana naye
anavyokupenda, kila asubuhi anakupa maneno mazuri
anavyokupenda, mnavyolala anakupapasa
CHORUS LYRICS:
Kama mapenzi ni ufalme, umeletwa na Mola duniani
basi tupendane tuoane, tuwe wengi hapa duniani

VERSE 2 LYRICS:
Kuna kosa lolote ya kwako amekosa?
naomba umsamehe
Kuna kosa lolote ya kwako amekosa?
naomba umsamehe
mna mapenzi matamu mnapopendana mnapotulia pamoja
kwani mambo mmepanga nyinyi wawili mpaka saa hizi mko pamoja
anapokosea uende umwelezee
anapokosea we mzee mwelezee
CHORUS LYRICS:
Kama mapenzi ni ufalme, umeletwa na Mola duniani
basi tupendane tuoane, tuwe wengi hapa duniani
Kama mapenzi ni ufalme, umeletwa na Mola duniani
basi tupendane tuoane, tuwe wengi hapa duniani
VERSE 3 LYRICS:
Mpenzi wangu nivishe taji ili penzi linode
navyokupenda, mwingine mpenzi mi sioni
umenifanya mimi kweli naonekana kiziwi
anaponiita yeyote ile si siri
anaponiita na sauti nzuri, mume wangu ndio yule
mume wangu ndio yule, tutaweza funga ndoa
mi na we
CHORUS LYRICS:
Kama mapenzi ni ufalme, umeletwa na Mola duniani
basi tupendane tuoane, tuwe wengi hapa duniani
Kama mapenzi ni ufalme, umeletwa na Mola duniani
basi tupendane tuoane, tuwe wengi hapa duniani
Post Views: 347