Black Duo & Mandugu Digital – Rap kwa MIC Lyrics

Verse 1
muziki ni kama kusali
wee piga magoti
ni tamu tu kama sukari
bora pata mali kwa mali
bogea bogea zaenea kwenye mtaa
ndio maana unapigwa na butwaa
hili kichwani ni kama doom
mradi usali Maulana usije kula ngumu
kule kupachika mistari ya hatari pirater awe promoter unafikiri
natamka haswa…
una swali
si wee ni mkali hasa na hiyo hali
lakini napana ka serikali ya jana
nikiwachana na wale wana maana
kila mmoja ni mzee hutaki jina ya kijana
kosana na mi ni ka kukosana na Osana
una tamaa lakini mimi nimekata
kupata matako haulii mbwata

Chorus
rap kwa MIC
nimekupatia 
ukiangalia
ni la la la la la

rap kwa MIC
nimekupatia 
ukiangalia
ni la la la la la

Verse 2
na hii rap ‘taweza kuniekea dish
ama niimbe tu kenye wote mna-wish
ndio nikuwe, mniinue big fish
kama ni hivo ndivo vitu vilivo
malipo ni kilio kizito na sikio
unadhani tu ni kutoka mbio
basi tega sikio
juu unaweza sema
ni hiyo
na si hiyo

kila kiungo hupata nafsi
kisha anza kujirusha kula nasi
wee ni ___ na una elimu
mbona basi huelewi hata ikitwanga
ishtum vigum, hadi ikate panga
ifanye uchi ukimbie hadi kwa mganga
hip kwa Kiswahili na hop kwa Kiingereza
klabu tukiwa siri twafika kisirisiri

Chorus
rap kwa MIC
nimekupatia 
ukiangalia
ni la la la la la

rap kwa MIC
nimekupatia 
ukiangalia
ni la la la la la

Verse 3
mamanzi mamathe na macucu mikono juu
machali mafathe na maguka mikono juu
ni blak duo
na mandugu du
mikono juu
vichwa mpaka miguu

mamanzi mamathe na macucu mikono juu
machali mafathe na maguka mikono juu
ni blak duo
na mandugu du
mikono juu
vichwa mpaka miguu

vile nazungumza labda inakuunguza
chunguza
CD uza lakini si vipuza
J.U.D.G.E nimeepuka
zangu zikide-di zitafufuka
na Jah Rastafara
ni ka nakaa
rap imejaa na kuchacha chacha cha
moto
ni ka mkorogo 
sawa mchanga na kokoto
na si msomo, ni mkomo

Chorus
rap kwa MIC
nimekupatia 
ukiangalia
ni la la la la la

rap kwa MIC
nimekupatia 
ukiangalia
ni la la la la la

You cannot copy content of this page