Bishop ft Wiwy – Kazi ni mziki Lyrics
CHORUS LYRICS:
Kazi ni kazi, nimekwisha chagua mziki ni jamaa
Usinipe haki, nimejikaza bado niko hai jamaa
nimefurahi, nimefika na sio bahati jamaa
nimevumilia na sasa milango imefunguka wazi jamaa
VERSE 1 LYRICS:
Waliniambia niwache mziki ata nitafute kazi
nishinde kwa ofisi nivae suti na tai, cheki
nikue na msichana mzuri secretary
wakuchukua simu sanasana zile sitaki, ngoja
lazima iwe hivyo niheshimu, n kitu tulifunzwa na wazazi na walaimu
ati kazi si kazi ka si kazi ya ofisi, kazi zingine ni mbovu na hakuna shlingi
So, sina otherwise but kuwarudisha nyuma, niwasho vile hii story inaniuma
nishawai kula shida nikawaza suicide, nikaona si poa life yangu nikadecide
kuchagua maisha juu mziki huniguza, mziki ni maisha na maisha naiskuma
ndio maana mi husema hii mziki ni lazima, naileta karibu nawe kwa radio ka unaskiza
CHORUS LYRICS:
Kazi ni kazi, nimekwisha chagua mziki ni jamaa
Usinipe haki, nimejikaza bado niko hai jamaa
nimefurahi, nimefika na sio bahati jamaa
nimevumilia na sasa milango imefunguka wazi jamaa
VERSE 2 LYRICS:
Maishani utakutana na watu hawataki kuona ukiendelea ata ukijibaia shati
wanakuchekesha na meno safi ka binguni, lakini riho zao zinalia maji ya chumvi
nakumbuka nilisumbuka sikuwai skia mabeshte wangu wa karibu wakinipigia
wakiuliza Bishop niaje, unaendelea vipi, industry iko aje, bado unafanya mziki
kile walifanya ni kunisenganya na kuniambia siwezi, ati mziki itanipoteza
wakatoroka ju sikuwa na hela, sasa wanajileta ati Bishop nipe hela
but anyway niko tight by far, na hakuna mtu ataniskiza nilijitupa
ju maisha yangu nimekuwa sina pesa, sa natengeneza, kila mtu ananipenda
CHORUS LYRICS:
Kazi ni kazi, nimekwisha chagua mziki ni jamaa
Usinipe haki, nimejikaza bado niko hai jamaa
nimefurahi, nimefika na sio bahati jamaa
nimevumilia na sasa milango imefunguka wazi jamaa
Kazi ni mziki
kazi ni mziki
VERSE 3 LYRICS:
Hii si hadithi, ni kitu minaishi, siwezi wacha mziki, ni sehemu yangu mimi
miaka ishapita noma tushatoboa, mambo mingi imechange lakini bado tuko poa
nililia vile Sharon alidie, ndugu akapass by akanisho ni smile
nilifanya hivyo, sa nawish angeniona, nafeel ka E-sir time ya show za Ogopa
fresh lakini naulizwa maswali mingi ati ka mi na clemo tuko tight ka mbeleni
mi nachukulia tu simple, nawapea ngoma mjue mi bado niko
inabidi nichore mistari nipate chapaa, hii mziki ndio kazi au sio Sharama
niliandika ngoma ya kwanza nikiwa class three, sa nishapita mtihani nipe degree
CHORUS LYRICS:
Kazi ni kazi, nimekwisha chagua mziki ni jamaa
Usinipe haki, nimejikaza bado niko hai jamaa
nimefurahi, nimefika na sio bahati jamaa
nimevumilia na sasa milango imefunguka wazi jamaa
Kazi ni kazi, nimekwisha chagua mziki ni jamaa
Usinipe haki, nimejikaza bado niko hai jamaa
nimefurahi, nimefika na sio bahati jamaa
nimevumilia na sasa milango imefunguka wazi jamaa
Post Views: 166