Bilari – Iko Sa'a Lyrics

Bilari – Iko Sa'a Lyrics

VERSE 1 LYRICS:
Skia yeah…
2.0.1.1, rap kwangu simple ni kaa kuchew gum
nataka take over cheki news ka Dug
very of us wanaeza spit verse tamu
n****r nina bars na ni hot ka sun
naficha line recognise ni kazi kwa maskan
Weusi FDamilia but I’m a last
na kama beat inakubamba, basi dance dance
na storm in the yard, ka wale wadhii wa movie
na kama hii inakujazz, go ahead and move it
some of you najua mmenijua tu juzi
so ka haunijui vizuri kaa uniskize vizuri
mi ndio yule boy ana-flow so awesome
kufanya tu madada mahaga wanadondosa
zangu nitapenda vile mnapenda kosa
huku nikiosa no sir sisemi tosha

CHORUS LYRICS:
I’ve seen alot of s**t niki-come through
na kama kawa mi hu-kill niki come through
ay yoh naifanya for my sis na madhangu
family come first, friends kisha fans wangu
nikidai what’s up si unajua
ninaleta flow fyam yaki-sure
with a science so high si unajua
unajua we ni fan ama?

VERSE 2 LYRICS:
Juzi nilicome through ka dezigne ya kutolea stress
so kuchill tu mawazo mengi mi nachoma sess
mafriends I’m sure waliona niko hopeless
hizo days ziko long gone saa hii I’m so blessed
na-talk more sence than most men
nikispit bars hot kama course men
mi na my n****r Dan Storm tunasaka more pay
no wonder utatupata studio kama all day
ma beat akizimake, vile nazimurder
ma flow huwezi make, niko juu kama kawa
24/7 utadhani Jack Bower
niko high why lie ni kama nina mabawa
wanatukanaga dawa guess flow iko sawa
si mind kujiexposs yet juu niko sawa
I’m the best yes na clothes ziko zawa
excuse me, sawa?

CHORUS LYRICS:
I’ve seen alot of s**t niki-come through
na kama kawa mi hu-kill niki come through
ay yoh naifanya for my sis na madhangu
family come first, friends kisha fans wangu
nikidai what’s up si unajua
ninaleta flow fyam yaki-sure
with a science so high si unajua
unajua we ni fan ama?

VERSE 3 LYRICS:
nikidai what’s up si unajua
ninaleta flow fyam yaki-sure
with a science so high si unajua
unajua we ni fan ama?
no maridai, baby uhali gani?
ningedai but saa hii nasaka mali
hakuna noma, maybe magizani
time hii na W D kwa kona kwani?
na puff kisha verse bonge nani hush
naleta kitu ukiskia utajua tuko kazi
hawa mafala hawawezani, wapi lighter wapi nyasi
nataka teach wasee utadhani mi mzazi
kila wakati naomba moshi ndio nafasi
nikibonga wanasema B unachoma kama pasi
ama ni asi, King ki Kasi
Weusi Familia na we usicheze nasi
mi ndio hu-come through kuspit wanawika 
we uki-cry after mi utaskia ‘aje?’
kwisha kazi
saluti boy wangu niki holla kila manzi

You cannot copy content of this page