Big Pin, Flo & Frasha – Boss Yangu Lyrics
Chorus (Flo & Big Pin)
Boss yangu, hey
yuanita boss yangu, hey
Boss yangu, hey
yuanita boss yangu, hey
mi napenda anavyokaa, napenda anavyong'aa
napenda kila kitu about this girl
Boss yangu, hey
ndio namwita boss yangu, hey
hana maringo, ye ni m-classy
ako na roho safi
definitely ye ni material ya wifey
Boss yangu, hey
ndio namwita boss yangu, hey
Verse 1 (Big Pin)
mwili yake perfect, compare na Halle Berry na
lips zinafanya Angelina awe jolly na
huu ndio my type ndio namwita first lady
walai siwezi mind akipata my baby
my type, anajua zile vitu mi na-like
ka best meal yangu ya beef stew na rice
nice, usitake ona vile ame-ripe
na alienda campo, ye si fala ni m-bright
huyu ni lazima mi nitamwai
juu nikiwa na yeye everything is alright
ndio maana namwita boss yangu
juu ye tu ndio anajali maisha yangu
Chorus (Flo & Big Pin)
Boss yangu, hey
yuanita boss yangu, hey
Boss yangu, hey
yuanita boss yangu, hey
mi napenda anavyokaa, napenda anavyong'aa
napenda kila kitu about this girl
Boss yangu, hey
ndio namwita boss yangu, hey
hana maringo, ye ni m-classy
ako na roho safi
definitely ye ni material ya wifey
Boss yangu, hey
ndio namwita boss yangu, hey
Verse 2 (Frasha)
Frasha, niko na boss
nikiwa na dame yangu tu ku-floss
ha, yeah of course
uliza Big Pin ananiterra moss
kila mahali niko basi yuko kama siko basi hayuko mchanganiko badiliko bado niko na
boss yangu, yo home ni ka job
staki kuchelewa baby mi naelewa
boss yangu, basi iko siko nyumbani ndio niko niko
na kina Ciku niliwachanga Erico
boss wangu kunivuta kama kiko
kuzungusha kama mwiko iko iko
Chorus (Flo & Big Pin)
Boss yangu, hey
yuanita boss yangu, hey
Boss yangu, hey
yuanita boss yangu, hey
mi napenda anavyokaa, napenda anavyong'aa
napenda kila kitu about this girl
Boss yangu, hey
ndio namwita boss yangu, hey
hana maringo, ye ni m-classy
ako na roho safi
definitely ye ni material ya wifey
Boss yangu, hey
ndio namwita boss yangu, hey
Verse 3 (Big Pin)
kuna wengine wanadhani ati it's all about the cash
ati juu wana dough automatically wana class
naweza show one thing, that's a fact
you can pay for school but it can't buy class
koro winj wach na
I don't want to hear nini dai vat na no
aduana yue moss
vile Michelle yuayogi Obama
I say first things first
ni we tu napenda, the rest comes last
ndio maana nakuita boss wangu
juu wee tu ndio unajali maisha yangu
Chorus (Flo & Big Pin)
Boss yangu, hey
yuanita boss yangu, hey
Boss yangu, hey
yuanita boss yangu, hey
mi napenda anavyokaa, napenda anavyong'aa
napenda kila kitu about this girl
Boss yangu, hey
ndio namwita boss yangu, hey
hana maringo, ye ni m-classy
ako na roho safi
definitely ye ni material ya wifey
Boss yangu, hey
ndio namwita boss yangu, hey
Post Views: 211