Bamboo – Ako Kadem Lyrics

Chorus
ako kadem ni ka-player (player)
ye huchezea wazeya (zeya)
na mabeste wamekosea (sea)
throw your hands inna di air (air)

ako kadem ni ka-player (player)
ye huchezea wazeya (zeya)
na mabeste wamekosea (sea)
throw your hands inna di air (air)

Verse 1
najua kadem kanaitwa Zippy
kana mwili fiti
kana mahaga na matiti
anapenda mziki
zangu alinipenda mimi
ni kama bibi
sikuamini
kama anaweza nifanya hivi
nashindwa vipi
sura mbovu, mwili ni safi
ndio maana bado mi natafuta bibi binafsi
kumangana na marafiki mbili ni nasty
oya, lazma nimshtaki bana anipe nafasi
Muthoni beste yangu alini-intro
deuce kwa kadem flani ana ma-pimple
lakini si ka-simple, ana maringo
ndio maana nimemwandikia hako ka-single

Chorus
ako kadem ni ka-player (player)
ye huchezea wazeya (zeya)
na mabeste wamekosea (sea)
throw your hands inna di air (air)

ako kadem ni ka-player (player)
ye huchezea wazeya (zeya)
na mabeste wamekosea (sea)
throw your hands inna di air (air)

Verse 2
si machungu, story ni crazy
kukosana na boys juu ya dame siwezi
lakini roundi hii, compe si kesi
dame ndio ako job kama msee ni lazy
mimi unanijua
mi huwa chanter
jikoni na ma-rhymes na mistari karanga
ndio watu wasikonde, si watamanga
wakule na madame wao hapo kwa bumper
nabamba, hako kadame ni kajanja
hawezi nichezea, uh-uh mi ni commander
napanga, pesa yangu kama Karanja
hawezi nibebea hapana mi ntakahanda
no wonder
alijifanya kabeste
kwa beste yangu bana akampasha kasheshe
ma-message
ku-exchange masiri
walishrubiana kama Wakikuyu wawili, siamini

Chorus
ako kadem ni ka-player (player)
ye huchezea wazeya (zeya)
na mabeste wamekosea (sea)
throw your hands inna di air (air)

ako kadem ni ka-player (player)
ye huchezea wazeya (zeya)
na mabeste wamekosea (sea)
throw your hands inna di air (air)

Verse 3
hako kadame huwanga anatambaa
ni kama jambazi
ntawaelezea
mkinipa nafasi
anavaa specs
akiendanga kazi
lakini akitoa kanapenda ku-party
alafu
anachezanga chafu
anajifanya softie mbele ya watu
ana story
yaani kama kipindi
ama vitimbi utabaki mkundu firimbi
alipita na kabeste yangu flani jeso
ashahama kwake bana wako huko Statoe
na wanafanyiana mapenzi ka kila siku
lakini dame kuenda huenda na kila kitu
ubaki bila vitu
onyo kwake
askize
akitupa mbao shauri yake
nisham-show, nishawa-show pia
akiwa Selassie I wa Ethiopia

Chorus
ako kadem ni ka-player (player)
ye huchezea wazeya (zeya)
na mabeste wamekosea (sea)
throw your hands inna di air (air)

ako kadem ni ka-player (player)
ye huchezea wazeya (zeya)
na mabeste wamekosea (sea)
throw your hands inna di air (air)

You cannot copy content of this page