Amkeni Choir – Ewe Roho Mtakatifu Lyrics
Ewe roho mutakatifu, utu ongoze sisi wakristo,
Utufikishe kwenye njia iendayo kule mbinguni,

Njia hii, ni nyembamba sana na imejaa shida nyinga,
Alikuja Yesu mwokozi kutufikisha kwenye uzima,

Imejaa shida na hofu, mbele yake ni mwana wa nungu,
Hivyo ndivyo alisema malaika, Mwana wa mungu,

Post Views: 626