Ambassadors of Christ ft Fuata Nyayo Lyrics
Hapo zamani bwana Yesu alikuja duniani akaishi kama mtu,
kutuonyesha ile njia maridadi ya uzima wa milele,
fuata nyayo zake Yesu muokozi, yeye ni njia safi ya kwenda mbinguni,
mpe sasa maisha yako leo, atakufikisha mbinguni,

kwa mafundisho yake bwana yesu,
alituonya kuwa waaminifu na kufuata mfano wake mwema tuweze kushinda mateso,
fuata nyayo zake Yesu muokozi, yeye ni njia safi ya kwenda mbinguni,
mpe sasa maisha yako leo, atakufikisha mbinguni,
fuata nyayo zake Yesu muokozi, yeye ni njia safi ya kwenda mbinguni,
mpe sasa maisha yako leo, atakufikisha mbinguni,
sikieni sauti yake leo, anakuita akupalia,
yeye ni njia pamoja na ukweli ya uzima wa milele,
fuata nyayo zake Yesu muokozi, yeye ni njia safi ya kwenda mbinguni,
mpe sasa maisha yako leo, atakufikisha mbinguni,
fuata nyayo zake Yesu muokozi, yeye ni njia safi ya kwenda mbinguni,
mpe sasa maisha yako leo, atakufikisha mbinguni,
fuata nyayo zake Yesu muokozi, yeye ni njia safi ya kwenda mbinguni,
mpe sasa maisha yako leo, atakufikisha mbinguni,
fuata nyayo zake Yesu muokozi, yeye ni njia safi ya kwenda mbinguni,
mpe sasa maisha yako leo, atakufikisha mbinguni,
Post Views: 497