Ali B & Frasha – Hello
Verse 1 (Ali B)
nakubali mpenzi nilikukosea
nakuomba nisamehe
siku mingi simu sijakupigia
tafadhali nisamehe
usinichukulie vibaya
usikasirike, mpenzi nielewe
kwako sina nia mbaya
ni wewe pekee
sina mwengine
Chorus (Ali B)
hallo
shika simu mpenzi hallo
usikasirike baby hallo
hallo
hallo
shika simu mpenzi hallo
usikasirike baby hallo
hallo
Verse 2 (Frasha)
Hallo, hallo
kijuliani mbona hatujuliani hali
hello, hello
mbona kukasirika honey mbona kubadilika
hello, simu mazee itakatika
network haiko poa but baby niko poa
bado mi nasaka
usiwe na shaka
usiwe na haraka, nyumbani ntafika
kazi inaendelea, kibarua inaendelea, roho yangu inaumia ma...
nikifikiria juu ya watoto na wewe vile mnaendelea ma...
machungu moyoni but, baby
chukuanga simu hey
ni Frasha baby
wee chukulianga simu
hallo
shika simu mpenzi hallo
usikasirike baby hallo
hallo
Verse 3 (Ali B)
sema nami basi niskie
sauti nzuri basi niskie
usiniwache baby niumie
hallo, hallo
natamani kama ni ya mabawa
nikaruka kuja kukutembelea
lakini kazi mimi zimenilemea
hallo, hallo
mi najua unanimiss wangu miss
hata nami nakumiss yeah
hallo...
hallo
shika simu mpenzi hallo
usikasirike baby hallo
hallo
Post Views: 150