Bamzi – Burungo Lyrics
Chorus
nataka kudunda
hadi huko Nai
nikatafute manzi
moja noma sweetie
awe na burungo
mtamu ka asali
nataka kudunda
hadi huko Nai
Verse 1
nataka nini?
kudunda leo niskize mahewa
na niwe na dame na beer pia niwe napewa
mikono juu juu
juu juu kwa hewa
na ukopeshe taxi
ama uwe na fare
haya twende
panda panda mathree
twende shorty
come katika nami
twende hadi
huko haree Carni
tufanye vitu
‘tuwezi do kwa auntie
na jo unamesea vile mi nasema mami
wakikuuliza, useme yule kijana Bamzi
alikufanya crazy, mkaenda party
mkanywa vodo na Smirnoff ice all night free
kama ni brother unahitaji niko
na kama ni vinywaji na dish, zipo
ukihitaji hizo mapenzi ma-kiss simple
na kama ni magodi na mshikaki iko
Chorus
nataka kudunda
hadi huko Nai
nikatafute manzi
moja noma sweetie
awe na burungo
mtamu ka asali
nataka kudunda
hadi huko Nai
Verse 2
ndani ya club leo mi sitaki ma-scrub
mikono juu juu mabeste
show me your love
I got a girlfriend
but she ain’t here tonight
so nataka uje, me can ignite your life
if your hanjams are thirsty then imma quench like Sprite
I’m the African Superman and we gon’ creep tonight
but before that
twende kwenye dance floor mat
tukatike mpaka wasee wote wana-fall back
fact, juu vile wasee wana-react
player haters wanatupa blows
they don’t even even scratch
I keeps it gangster y’all
I bounce back
ready for all o y’all
full defence when you attack
kama ni brother unahitaji niko
na kama ni vinywaji na dish, zipo
ukihitaji hizo mapenzi ma-kiss simple
na kama ni magodi na mshikaki iko
Chorus
nataka kudunda
hadi huko Nai
nikatafute manzi
moja noma sweetie
awe na burungo
mtamu ka asali
nataka kudunda
hadi huko Nai
Verse 3
it’s a damn cool fresh night
the vibe’s tight
DJ Styles playing all the phat tracks the whole night
don’t want no any trouble na sitaki any fight
nataka uje close nami, I won’t bite
yo the mood’s right
your skin’s smooth, you smell nice
you’re like a single shot of Hennesy straight with no ice
but I gots to let you know first hand, I got a wife
and she doesn’t come in single shots, she comes twice
if you wanna slice
you on kryptonite
I won’t tell if you don’t, so let’s keep this tight
after I touch you climax to new and maximum heights
high as a kite
my game come correct like Nike
kama ni brother unahitaji niko
na kama ni vinywaji na dish, zipo
ukihitaji hizo mapenzi ma-kiss simple
na kama ni magodi na mshikaki iko
Chorus
nataka kudunda
hadi huko Nai
nikatafute manzi
moja noma sweetie
awe na burungo
mtamu ka asali
nataka kudunda
hadi huko Nai