K-South – Kapuka Lyrics
Verse 1 (Bamboo)
hii beat ni Phat
kama Blaze
ama kama sukuma wiki na mayonnaise
ama kama Lydia Abura na Victor…
wakiingia kwa gari pamoja hey-ey
oh no
but anyway
hii ni ya wa-K.E.N.Y.A
na wale wakenya wako Californi-a
karao akiskiza hii anaangusha A.K
si hatujali-e
tumetoka mbali-e
tafadhali-e
pass the courvoisier
watu wakatike
kama wanati-e
nataka party
kama leo ni birthday
ama niaje wee
chiki chika chike
hizi ni kali ka
zile magadiga
huwanga zinaona mpaka huko mandani ya
nguo za kale ka-
dame kako pale na
anatingisha tingisha vitu kadhalika
Pope askie hii huko ndani ya Vatican
mi uh no batty man
me I’m an African
na kwa wale MCs wote ambaye wanaroga
wacheni kutumia tu ka-beat moja
this kapuka that
Chorus
kapuka this
kapuka that
kapuka this
kapuka that
kapuka this
kapuka that
ndio watu wakatike
watu wakatike
this
kapuka that
kapuka this
kapuka that
kapuka this
kapuka that
ndio watu wakatike
watu wakatike
Verse 2 (Doobiez aka Abbas Kubaff)
kila wakati-ka
mpaka saa ngapi-ka
kapuka eeh
mpaka tenje imechomeka amp
I can’t stand hizo ma-chant
zimekwisha fashion kama nywele za punk
kuruka ruka ni kama mmeng’ara Pampers
badilisha jina ya Kamp na kuwa kampu
kapuka pu
hii ni kamp ki boombookak
ya wadhii na madame wana ma-tumbo cut daily
leo ni leo hiyo ni kweli
ntareversisha huyo Lenny anakuwa nil-i
silly
nini Kamaki na Milli Vanilli
wawili wanapigapiga tu makelele
ntakushika kibare mpaka u-face pande ile
wewe
tazama mbele
mi ntafunga nywele ili kuchanuka
kisha mi ntakupa kitu si ka hii kapuka puka puka
kapuka puka puka
Chorus
kapuka this
kapuka that
kapuka this
kapuka that
kapuka this
kapuka that
ndio watu wakatike
watu wakatike
this
kapuka that
kapuka this
kapuka that
kapuka this
kapuka that
ndio watu wakatike
watu wakatike
Verse 3 (Bamboo)
na hii kwa hakika
mkunywe mavitu nyingi mtatapika
simama na mguu moja kwa madakika
uniambie kama zimeshika
na zimeshika
kama figure thick ya
kale kadame jo ubaya ana n***a
na anamshika
juu anajua nikifika
atajipa
ndio saa hii ana mafikra
juu anabamba
kunyamba kwenye kitanda
Seati zinakaa zimekarangwa
(Doobiez)
harufu mpaka kwenye veranda
karamba
nakata khandas kwanza manga
labda ntala kuku nzima sima
kabla kuku mbuta chupa mzinga
lazma lima shamba kisha panda
huwezi dishi kabla pika kwanza
yabamba kama sampa na una ganja kwa jumper
player weka Fanta apana mwacha mwacha
pita chapa kama hii chakacha
katiaka tiaka tiaka tiaka tiaka
kamanzi kakitingisha madiaba
Chorus
kapuka this
kapuka that
kapuka this
kapuka that
kapuka this
kapuka that
ndio watu wakatike
watu wakatike
this
kapuka that
kapuka this
kapuka that
kapuka this
kapuka that
ndio watu wakatike
watu wakatike