Bamboo – Jaza Rhymes Lyrics

Verse 1
amka asubuhi, nawa uso, piga meno ‘swaki
kama kuna maji piga shower niko safi basi
mara sikia kidogo juu ya vazi
sasa si twende kazi
toka nje salimia wazee wa mtaa niaje
mi niko poa, leo mishoni ya kutafuta dough
panda mathree sare moja napewa hallo
niki-salute kama soldier niko poa jo
fika town shuka stage fanya biashara
inaonekana nitaingiza sana
vijana wamea-amua wananijua
wametambua mi nararua ma-rapper kama karatasi sawa basi

Chorus
ikifika matym
mi najaza ma-line
unaskiza ma-rhyme
usi-copy design 
na niaje (poa!)
niaje (freshi!)
niaje (safi!)
niaje (hepi)

ikifika matym
mi najaza ma-line
unaskiza ma-rhyme
usi-copy design 
na niaje (poa!)
niaje (freshi!)
niaje (safi!)
niaje (hepi)

Verse 2
paka ikatoka sa panya ikatawala
doggy ikaingia ikakula wote mafala
kama ni local kama ni club zote ni kali
uliza watoi na wazazi watakubali
mimi ni nani
uliza rapper kina flani
wanajua gani
walitoa flow wapi
flow wapi
dough wapi
ati walijifundisha zao saa ngapi ni copy
na nikijua namesea
wako sloppy
wanatembea mi napepea
nikiwapea kitu ya kuendelea na snare
mnasema yeah Bamboo hajapotea
bado niko
hakuna yule mnoma kuniliko
nimeshika mpaka Thika ndio maana nakubalika
shika mikrofoni mara ya kwanza mara ya pili
wakasema mamake kijana ana akili
yule wa! na ma-rhyme zimejaa

Chorus
ikifika matym
mi najaza ma-line
unaskiza ma-rhyme
usi-copy design 
na niaje (poa!)
niaje (freshi!)
niaje (safi!)
niaje (hepi)

ikifika matym
mi najaza ma-line
unaskiza ma-rhyme
usi-copy design 
na niaje (poa!)
niaje (freshi!)
niaje (safi!)
niaje (hepi)

Verse 3
Bamboo mzeiya Bamboo
wanasema uwongo eti nilifanya dame choo
niko na manyumba nyingi
nikitaka naeza pata
mi nafanya pole pole haraka na kujikata
madada piga lager piga pina colada
finya namba yako ndani ya celli haraka sana
ushaniona mahali
eh ni kweli ndani ya telly
Zamaneli ama Makaveli uko ready
nikitema mistari
wanakosa habari
yako ndani ya gari
mnapiga safari
twende
kanyaga mende
kula sembe
wajue mimi bila mic ni kama reggae bila jembe
mi hushika mic
bado sijamea pembe
na manyumba za gorofa twendeni tukazijenge
enda uambie mama
nimeshika ka Obama
mtu akileta drama
apotee ka Osama

Chorus
ikifika matym
mi najaza ma-line
unaskiza ma-rhyme
usi-copy design 
na niaje (poa!)
niaje (freshi!)
niaje (safi!)
niaje (hepi)

ikifika matym
mi najaza ma-line
unaskiza ma-rhyme
usi-copy design 
na niaje (poa!)
niaje (freshi!)
niaje (safi!)
niaje (hepi)

You cannot copy content of this page