Bamboo – Compe Lyrics
Verse 1
ati eh, niko club
nimekaa bila taab
na jamaa anakatia dame wangu kwa sababu
anapendanga ma-silver badala ya dhahabu
ubaya mi wanga najam ka Mwarabu
lakini mi hutoa stress na kalamu
na-spit kwa mic na inatoka tu vitamu
hii basi ni story ya dame wangu
staki magazeti ziharibu game yangu
nimekaa na kadame kangu kasupuu
namroga tu na ma-styles zangu za voodoo
na zilikuwa zina-flow tu kama maji
jamaa akakuja akamsalimia niaje
ati sasa baby umepotea
imekua siku nyingi hujatokea
saa hizo mi na-wish tu angepotea
akanisalimia hi
na akaendelea
Chorus
usiletee compe
kwanza kwa dame wangu manzee
I say
usiniletee
hiyo ni mali yangu manzee
eeh!
usiletee compe
kwanza kwa dame wangu manzee
I say
usiniletee
hiyo ni mali yangu manzee
eeh!
Verse 2
sasa mi sipendangi kukuwa na wivu
lakini pia heshima huwanga muhimu
isitoshe akamwomba namba ya simu
kashindwa kwani huu msee ni mwazimu
ati hey baby gimme your line
usipotee sana nipigie some time
compe ni compe jo safi
mtu aje ajitetee roho safi
mi sina time ya kujam saa ngapi
uwivu huleta vita
kama supuu haezi pita
kabla chali hajamwita
dame akaona majamaa ka sita
ka-figure lakini kanakuita
hips na thighs hubonga na zinaskika
zingine zinabonga kama speaker
Chorus
usiletee compe
kwanza kwa dame wangu manzee
I say
usiniletee
hiyo ni mali yangu manzee
eeh!
usiletee compe
kwanza kwa dame wangu manzee
I say
usiniletee
hiyo ni mali yangu manzee
eeh!
Verse 3
sasa si nikabaki na dame hapo
saa hizo jamaa asharusha game hapo
ni vile mtu hucheza na brain yako
unamwambia wazi jamaa na-claim hapo
mi nikalenga
jamaa akaenda
lakini ni obvious si anampenda
na-keep it real
nadhani mnani-feel
ni ngumu kupata dame kwa club na ame-chill
siwezi funga mtu ka police
nikiku-release nakuambia tu peace
compe ni compe jo safi
mtu aje ajitetee roho safi
lakini kwanza anipe nafasi
nimpatie story yangu kiasi
mimi sipendi
kwanza weekendi
mtu rafiki lakini anapretendi
watu wanaona ni kama wataniona
lakini nimekupima na pia nimekusoma
skia ngoma compe ni noma
jamaa amealika dame wako nyama choma
Chorus
usiletee compe
kwanza kwa dame wangu manzee
I say
usiniletee
hiyo ni mali yangu manzee
eeh!
usiletee compe
kwanza kwa dame wangu manzee
I say
usiniletee
hiyo ni mali yangu manzee
eeh!