P-Unit & Nonini – Hapa Kule
Intro (Nonini)
nakuambia Musyoka jo yaani
hii mwaka umepeleka hawa watu mbio yaani
it’s about time yaani tume-low down kidogo
naeza hata anza ku-rap bila beat yaani
ni funny vile mwaka moja kundi imeleta matata
awards tuna-dominate na ma-show manze kila mara
Verse 1 (Nonini)
maajabu ya Jah Jah na Godfather
mi niko hapa bado baada ya miaka kumi
wee uko nyuma kule uta-do, sue me
strategy ndio jina jo wee mchezo
jamaa ame-doze, kwani hamnanga uwezo
ya ku-think badala ya ku-waste ink
video hata hazinanga ma-lipstick
msupa Lady Bee akaletwa na wagenge!
kule sauti tudame tunapiga kelele
hapa kule, chakula tamu, shika ule, na ni bure
shika ule, na ukumbuke, usisumbuke, ukumbuke
next time utakuwa umesimama katikati ya jamii
watiaji… na wasanii
kumbuka akili iko mbele kuliko hao wote maduwa…maduwa… maduwanziii!
(Frasha)
maisha yangu siku hizi hapa kule, toka shule
toka town, mpaka Athi, mpaka Macha, hapa kule
mimi yule yule, yule hustler!
nasaka ganji hapa kule,
familia nayo kule toka Kite mpaka Kile
toka nyuma mpaka mbele mafans piga kelele kwenye klabu
hapa kule, hapa kule kwenye klabu
hapa kule, hapa kule, twende kazi
Chorus
hapa kule, hapa kule, hapa kule, one touch!

Verse 2 (Buganya aka Gabbu)
hii story si sana sio poa na
matym niko juu, matym niko down, matym, niko hapa kule
namshukuru mola yule
Punit si tuko mbele
tunakam na ngoma kali
ka Mdoe nauliza swali
nina kitu tamu ka asali
juu mi ni Gabu, mi ni Gabbu
Ga-ga-ga-ga-ga-ga, Gabbu
(Frasha)
bado Gabu, mi ni Frashaaa!
siku hizi huwezi kula tu
hapa kule kamdudu nako kako tu
hapa kule wee jichunge kwa viatu juu ya kadudu
ukirarua itabidi unajua
kabla kuvua chunguza tabia
ka unampenda funga naye ndoa
marafiki naishi nao poa
wanafiki nilishawadondoa
kimziki najua ntatoboa-oa-oa
Musyoka, hii verse itaisha aje?
Chorus
hapa kule, hapa kule, hapa kule, one touch!
hapa kule, hapa kule, hapa kule, one touch!
hapa kule, hapa kule, hapa kule, one touch!
hapa kule, hapa kule, hapa kule, one touch!
hapa kule, hapa kule, hapa kule, one touch!
hapa kule, hapa kule, hapa kule, one touch!
hapa kule, hapa kule, hapa kule, one touch!
hapa kule, hapa kule, hapa kule, one touch!
Verse 3 (Bon’eye aka Bonnie)
kana ka Nicola kona korakora
kumbe kora ni wakora na bakora
kama kanjo kuwai hawker tao akinyora
na hawker bado akaora…
kaa kando mbali na vurugu
cucu aliniambia ndio kukaa sugu
life lazima matym ni chungu
vumilia tumia akili yako kama rungu
Bon’eye survivor, kijana wa Mungu
nyanya na mama kama Obama
na ndoto za baba
kwa mic napiga masamaa
ma ma ma…
kijana ashakomaa
mdomo unashangaa
wakinishangaa, hapa kule, hapa kulee!