Fundi Konde – Kipenzi Tukae Wawili Lyrics
Mpenzi
karibu tukae wawili
karibu tukae wawili
unibembeleze
Mpenzi
karibu tukae wawili
karibu tukae wawili
unibembeleze
nalia
moyo waniua
nalia
moyo waniua
na iwapo
kinga umenikasirisha
kinga umenikasirisha
ni mahaba yetu
na iwapo
kinga umenikasirisha
kinga umenikasirisha
ni mahaba yetu
Mpenzi
karibu tukae wawili
karibu tukae wawili
unibembeleze
Mpenzi
karibu tukae wawili
karibu tukae wawili
unibembeleze
nalia
moyo waniua
nalia
moyo waniua
kinga umenikasirisha
kinga umenikasirisha
ni mahaba yetu