Fundi Konde – Elina ni Wako Lyrics
Elina ni wako twakupa wenyewe
umtunze sana
naye ni kijana usimgongegonge
utajua mwenyewe
Elina ni wako twakupa wenyewe
umtunze sana
naye ni kijana usimgongegonge
utajua mwenyewe
baba mama wa pweke
Elina nenda kolibali
naye ni kijana
usimgotegote
utajua mwenyewe
Elina ni wako twakupa wenyewe
umtunze sana
naye ni kijana usimgongegonge
utajua mwenyewe
Elina ni wako twakupa wenyewe
umtunze sana
naye ni kijana usimgongegonge
utajua mwenyewe
Baba mama wa pweke jangwani
Elina nenda kolibali
naye ni kijana
usimgotegote
utajua mwenyewe
naye ni kijana
usimgotegote
utajua mwenyewe