Daudi Kabaka – Shauri Moyo Lyrics
nilikuta bibi wa kwanza Nairobi
akanipenda na mimi kampenda
nikamwuuliza kama ana bwana
akanijibu sina hata mpenzi
nilikuta bibi wa kwanza Nairobi
akanipenda na mimi kampenda
nikamwuuliza kama ana bwana
akanijibu sina hata mpenzi
tukaenda naye, mpaka kwake
Shauri Moyo kwa nyumba za tumbako
nilipolala kasikia hodi hodi
fungueni ni mimi mwenye nyumba
tukaenda naye, mpaka kwake
Shauri Moyo kwa nyumba za tumbako
nilipolala kasikia hodi hodi
fungueni ni mimi mwenye nyumba
bibi akileta aibu sana sana
kuwa ka mimi na yule bwana
tungepigana mimi na yule bwana
tuumizane wewe ungefanyaje
bibi akileta aibu sana sana
kuwa ka mimi na yule bwana
tungepigana mimi na yule bwana
tuumizane wewe ungefanyaje
nilikuta bibi wa kwanza Nairobi
akanipenda na mimi kampenda
nikamwuuliza kama ana bwana
akanijibu sina hata mpenzi
nilikuta bibi wa kwanza Nairobi
akanipenda na mimi kampenda
nikamwuuliza kama ana bwana
akanijibu sina hata mpenzi