Grammo Suspect – Zaidi ya Onyancha Lyrics
INTRO:
Jamaa eeeh,m’me yasema ya Onyancha,na mka yasema tena sana.Lakini huo
unafiki tu,kwani wengi wenu,zaidi ya Onyancha
VERSE 1 LYRICS:
Wangapi wametoweka na hatujui wamekwenda aje?/Wangapi wamekufa na
hatujui wamekufa aje?/Wengine pigwa risasi na hatujui nani kafanya
kazi(y)Hatujui kama ni raiya ama ni wenye badge(y)Na iwe ajali
barabarani au kifo cha maji(y)Most of them arssasinations,kuua kwao
kipaji(y)Ouko alitokeka je,alikwenda aje?/Kariuki J J,wao
walim’manchez/Fr Kaiser,mtumishi wa kanisa,ilitubidi kumfanyia yake
mwisho Misa/Hizi ni baadhi,ya vingi visa/Visa bigy zaidi ya vya
Onyancha visa/Ukifungua pazia uone zao ghasia,damu itakuishia/
mwilini,kabla ya Onyancha,kuiviza/Onyancha aliuua kisha damu
kainywea,wao wanatunyonya mdogo mdogo hadi tunazimia
CHORUS LYRICS:
Mna yasema ya Onyancha-YA ONYANCHA!/Mna yaona ya Onyancha-YA
ONYANCHA!/Msishangae ya Onyancha/Wengi wenu zaidi ya Onyancha
VERSE 2 LYRICS:
Wangapi walikufa njaa wakati store za mahindi zilijaa?/ Ndio,South
Sudan kulikuwa na balaa,bt kulifanya mifuko za watu zikajaa/Mwaponda
mali ya uma kila project tita la pesa mna uma!/Goldenbergh scandal
Wakenya ilituuma/Angloleasing manze hamna huruma/Kamlesh kwa Jesus
akasema yes/Aka return the one Grand Regence/Lakini ikauzwa kama
reject/Hw abt Tritton Oil?/Wakenya tuna toil/Huku mwa tu boil/Wakenya
wangapi walikufa baada ya mapigano ya baada ya uchaguzi?/Wakenya
wangapi baada ya hapo kwa Nchi yao,wao ni wakimbizi?/Baada ya wanasiasa
kufanya ochochezi,kisha waka piga mbizi/Kabila ni mbili,ya masikini na
wao matajiri walio ficha pesa huko Uswizi/ Onyancha aliuua kisha damu
kainywea/Wao wanatunyonya mdogo mdogo hadi tunazimia
CHORUS LYRICS:
Mna yasema ya Onyancha-YA ONYANCHA!/Mna yaona ya Onyancha-YA
ONYANCHA!/Msishangae ya Onyancha/Wengi wenu zaidi ya Onyancha
VERSE 3 LYRICS:
Mara nyingi serikali ya Kenya imetenga pesa za Hospitali/Wakenya wengi
wamekufa baada ya kukosa dawa kwa hizi Hospitali!/Nani jambazi?Ni
wauguzi au madakitari?/Wakenya wengi wamekufa baada ya kukosa Docters
kwa hizi Hospitali/Wako wapi hawa?Kaugua au wako kazi kwa zao
Hospitali?/Pastor ana hubiri Sunday mchana,Monday mchana watoto nao
anawindana/Wasichana kwa wavulana yeye hana mpaka/Akisha
wapata,awapeleka kwa kichaka na kuwabaka/Mnayasema ya Onyancha,huku
baba,mtoto wake yeye ana m’manga/Mna yaona ya Onyancha,huku kaka,dadake
yeye,ana m’baka/Ukifungua pazia/Uone zao ghasia/Damu itakuishia
mwilini,kabla ya Onyancha kuivizia/Onyancha aliuua kisha damu
kainywea/Wao wanatunyonya mdogo mdogo hadi tunazimia
CHORUS LYRICS:
Mna yasema ya Onyancha-YA ONYANCHA!/Mna yaona ya Onyancha-YA
ONYANCHA!/Msishangae ya Onyancha/Wengi wenu zaidi ya Onyancha
OUTRO:
GRAMMO HAPA.THE LAMU QUEEN.AND SUSPECT IS MY MIDDLE NAME.ALRIGHT?YA MAN