Jaguar & Mandugu Digital – Furaha Lyrics
Chorus
madame na machali wamejaa
furaha, furaha
wamekam wamesema ni mtam
ni mtam, ni la-li-la
Verse 1
nani amesema niko out kwenye hii game
nani amesema anawezana nami
nipe mic nipe MC niwachafue
niwajue mic kama kama tu birai
sina kisa si mchezo nipe nikupe
nimefika MCs wanibishe
mpango ni mamanzi na wawike
machali wa-wike na wakatie
Chorus
madame na machali wamejaa
furaha, furaha
wamekam wamesema ni mtam
ni mtam, ni la-li-la
madame na machali wamejaa
furaha, furaha
wamekam wamesema ni mtam
ni mtam, ni la-li-la
Verse 2
kamata mitaa
zima hizo taa
biringika ni kama wacheza huko Dar
mwisho wa hepi ni muziki uki-land
sa ni… sa niwacheki waki-come down now
selekta
nakuchagulia
ikatike
inukie
Jaguar Madigital, la-la-la-la
sikiza sikiza vile tunabambika
Chorus
madame na machali wamejaa
furaha, furaha
wamekam wamesema ni mtam
ni mtam, ni la-li-la
madame na machali wamejaa
furaha, furaha
wamekam wamesema ni mtam
ni mtam, ni la-li-la
Verse 3
sexy lips
gal you got a good platinum jamaa hawezi
your voice, catonizing
you are hot kama to be tantalizing
you are my relation, connection to the sun
three pair get socks zinadai sweat
then explode like a landmine
hi, gal you look a sexy
you are my
Chorus
madame na machali wamejaa
furaha, furaha
wamekam wamesema ni mtam
ni mtam, ni la-li-la
madame na machali wamejaa
furaha, furaha
wamekam wamesema ni mtam
ni mtam, ni la-li-la
Outro
kamata
shake your booty gal
kamata(biringika ni kama wacheza huko Dar)
kamata
shake your booty gal
kamata(mwisho wa hepi ni muziki uki-land)