Pilipili & Jimwat – Mpaka Che Lyrics
Verse 1 (Pilipili)
vipi wasee kama mnajua
hakuna kulala ni kupandisika mpaka che
tukiwa pamoja
tuichore mpango leo mpaka che
amuamua hakuna kuzubaa
amua twende klabu tubanjuke
ama chagua twende roundi mwenda
hao madame wasupa tuwasuke
(Jimwat)
Kiswahili venye yastahili
waingia akili
waachilie mwili
leo kila kitu tuna-do mpaka che
niambieni tu
mnatakaje
maboys wanataka kupewa mpaka che
asubuhi waamke waende gym tizi
madame wanataka game mpaka che
asubuhi waamke na Jimwizzy
Chorus
mi na wewe
na wewe (tukijuana)
mpaka che (kizee)
mi na wewe
na wewe (tukisenguana)
mpaka che
mi na wewe
na wewe (tukibangaiza)
mpaka che (kizee)
mi na wewe
na wewe (tukibambisha)
mpaka che
Verse 2 (Pilipili)
Ama tubaki kejani
tuchane veve tukibambua mpaka che
ama twende base
tudunge kambi na ma-story mpaka che
ama tusahau
story yote tukalale
hapana
nafikiri twende kesha
tutubu dhambi mpaka mchana
kama wajuajua
wajitambuabua
amuamuamua
vako ya kishua
wacha kuzubaa
wacha kujitupa
amua sasa wacha kujifunga
Chorus
mi na wewe
na wewe (tukijuana)
mpaka che (kizee)
mi na wewe
na wewe (tukisenguana)
mpaka che
mi na wewe
na wewe (tukibangaiza)
mpaka che (kizee)
mi na wewe
na wewe (tukibambisha)
mpaka che
Verse 3 (Jimwat)
ka security lights tubaki on mpaka che
shika manzi vi-tight jo, usimwache
fanya hii siku ya ku-remember bana
sahau siku vitu zimeenda mrama
ka watchie, ka guardi
waka hadi uitwe torchi ulete nuru gizani
ambia shorty
sasa darling
toka saa hii hadi che
ni wee na nani
Chorus
mi na wewe
na wewe (tukijuana)
mpaka che (kizee)
mi na wewe
na wewe (tukisenguana)
mpaka che
mi na wewe
na wewe (tukibangaiza)
mpaka che (kizee)
mi na wewe
na wewe (tukibambisha)
mpaka che
Outro (Pilipili)
leo hakuna ati ku-delay
ni kupandisika mpaka che
tujirushe rushe mpaka che
na kuburudika mpaka che…