Kaya – Namtaka Lyrics

Intro
Kaya
Jomino
Sijui nachaguaje
Namtaka pia

Verse 1
Mazee kitambo
Hii ilikuanga ndoto tu
Siku hizi mambo
Imebamba moto juu
Si lazima kumanga poko tu
Niko na lawyers, models and doctors too
Nina kinyaunyau
Na nina mama sukari
Pamoja hao
Huni-ride kama tu gari
In a club
Si hukutano tu-party
Na nymphos si hukutana tulale
Nina under 18 lakini si m-kiddy
Ye hunieka macho nisizeeke speedy
Dame sura mi sijui poa sababu
Ya buibui
Ye hukataa kuitoa, mwarabu na
Nina deliver-iwa picha za gazeti
Na njumu kiasi mi huficha msicheki
Lakini bro wakikutafuna
Ye hugeuka msupa namwita superwoman

Chorus 1
Sijui ntachaguaje
Kila mmoja ananibamba kivyake
Vile wengine wasupa
Nikichagua mmoja ni ka najifunga
Ule mfupi mrefu
Namtaka pia
Ule mjinga mwerevu
Namtaka pia
Ule mkonda mnono
Namtaka pia
Come over si unishike mkono
Nakutaka pia

Verse2
Waliskia niko poa
Wanataka kunikagua
Sio mi pekee nawa-choose
Some hunichagua
Sabu nikiwa kura stage ninaimba
Ma-golddigger huona place ya kuchimba
Ka ule dame tulikutane ngakare
Huenda akasema kutia hapana sis are
Nilisikia nimskume pale na maribare
Ati kwanza niboti barley kabla ni
Na ule dame ame-carry ka Mariah
Nilimpenda bed in a hurry ka –
Nikam-show ni ye nita-marry
Mi ni liar
Kumbe ni kutoa tu baridi mkali
Na wale twins kutoka Guinea Bissau
Wenye walisema kaya hutufinyi sahau
Mi nilicheka
Nikishangaa nini na hao
Juu asubuhi
Walikuwa na mimi kwa hao

Chorus 2 
Sijui ntachaguaje
Kila mmoja ananibamba kivyake
Vile wengine wasupa
Nikichagua mmoja ni ka najifunga
Ule mweupe mweusi
Namtaka pia
Ule ashafanya harusi
Namtaka pia
Pia dame ana bwana
Namtaka pia
Mwenye ni m-shy na mwenye anajifanya
Namtaka pia

Sijui ntachaguaje
Kila mmoja ananibamba kivyake
Vile wengine wasupa
Nikichagua mmoja ni ka najifunga
Ule mweupe mweusi
Namtaka pia
Ule ashafanya harusi
Namtaka pia
Pia dame ana bwana
Namtaka pia
Mwenye ni m-shy na mwenye anajifanya
Namtaka pia

Verse 3
Ule mfupi mrefu
Ule mjinga mwerevu
Ule mkonda mnono
Come unishike mkono
Ule mweupe mweusi
Mwenye ashafanya harusi
Na mwenye hana bwana
Na mwenye anajifanya
Mwenye anabo
Na mwenye ana story
Na mwenye ana dough
Pia mwenye ana ganji
Ni vile wengine wasupa
Nikichagua mmoja ni ka najifunga

Chorus 
Sijui nitachaguaje
Kila mmoja ananibamba kivyake
Vile wengine wasupa
Nikichagua mmoja ni ka najifunga
Ule mfupi mrefu
Namtaka pia
Ule mjinga mwerevu
Namtaka pia
Ule mkonda mnono
Namtaka pia
Come over si unishike mkono
Nakutaka pia
Sijui nitachaguaje
Kila mmoja ananibamba kivyake
Vile wengine wasupa
Nikichagua mmoja ni ka najifunga
Ule mweupe mweusi
Namtaka pia
Ule ashafanya harusi
Namtaka pia
Pia dame ana bwana
Namtaka pia
Mwenye ni m-shy na mwenye anajifanya
Namtaka pia

You cannot copy content of this page