Kenrazy, CSY & Cons – Umejibebea Lyrics
Intro
hii mziki tumechoka jo kuwabebea
jibebee na uanze kutembea
Verse 1 (CSY)
wadhii wanasema ati uko poa
wengi wao hapo ndani washai kojoa
tukifika keja cladi toa
kunavile leo naskia kunyora
ah..tumeshafika na umecho-ra
mi nishasmama na hii bako-ra
hapa mi ni striker we ndio gola
nikichapa nduki unaiokoa
kisu yangu siku mingi sijawahi kunoa
lakini nikidunga naitoboa
ni kaa una ugali unajibonda
ukishashiba huwezi konda
unatafuta joni ye alitoka
alienda kulala ju amechoka
ukimwamsha atakuokota
mangumi mambata unatoroka ah!
Chorus
DRINKS NAHOPE UMEJIBEBEA
CD NAHOPE UMEJIBEBEA
KAMA NI GANJI NAHOPE UMEJIBEBEA
JUU KUTOKA JUU HADI CHINI UMEJIBEBEA
DRINKS NAHOPE UMEJIBEBEA
CD NAHOPE UMEJIBEBEA
KAMA NI GANJI NAHOPE UMEJIBEBEA
JUU KUTOKA JUU HADI CHINI UMEJIBEBEA
Verse 2 (Kenrazy)
msupa nalike vile umejibebea
kwanza rasa nyuma vile zimezembea
coalition government ukitembea
(huuh huuuh)
maoboyz hood wanakuhemea
“am hot” eh ushajisemea
ata ukimess baby boo sitakukemea
bora tu kitu ni mi solo we huwekea
nitado the same pia mi nitatake care
(order! order!)wanakutetea
hao nimajudge mi ni convict wa love oh yeah!
ju umenishika hakuna place naeza hepea
miti ntakupa hiyo ndo shida umejiletea
jioni nikisha kugotea
wageni wakisha potea
alafu stima zikipotea
ti-chi si lazima pete ah!
Chorus
DRINKS NAHOPE UMEJIBEBEA
CD NAHOPE UMEJIBEBEA
KAMA NI GANJI NAHOPE UMEJIBEBEA
JUU KUTOKA JUU HADI CHINI UMEJIBEBEA
DRINKS NAHOPE UMEJIBEBEA
CD NAHOPE UMEJIBEBEA
KAMA NI GANJI NAHOPE UMEJIBEBEA
JUU KUTOKA JUU HADI CHINI UMEJIBEBEA
Bridge (Cons)
nikitoka rave take away najibebea
chupa kadhaa kwa nyumba najiwekea
cd kaa sita najibebea
kaa dame wako ni mrembo nakubebea
ukilewa sana wallenje nakubebea
asubuhi unapata nilikubebea
wallenje na simu na mbota na njumu na mpasu wa nguvu nakubebea!
Verse 3
kwanza nataka u sshhhh!
wacha kujitetea
si kutoka nyumbani hizi vitu ulikuwa umejibebea
na ulikuwa unajua vizuri maze tu ulikuwa unaniletea
saa mbona kelele nikianza kunyangam aham
na kutoka kitambo nimekuwa nazinyangam aham
kwanza hii game naanza toka juu hadi chini
unajua game yangu iko juu sio chini
na kwanza tubadilishane hizi nyama zetu za ulimi!
Chorus
DRINKS NAHOPE UMEJIBEBEA
CD NAHOPE UMEJIBEBEA
KAMA NI GANJI NAHOPE UMEJIBEBEA
JUU KUTOKA JUU HADI CHINI UMEJIBEBEA
DRINKS NAHOPE UMEJIBEBEA
CD NAHOPE UMEJIBEBEA
KAMA NI GANJI NAHOPE UMEJIBEBEA
JUU KUTOKA JUU HADI CHINI UMEJIBEBEA
UMEJIBEBEA
UMEJIBEBEA
UMEJIBEBEA!