Kenrazy & Kaya – Rudia Lyrics


Intro (Kenrazy)
Kenrazy, Kaya
Jomino of course
vipi Stevo
hii story ya kutichi madame jo
ni ngumu
nikishachoka saa ile mi natoka
manzi anawika nirudie
ati rudia

Chorus
rudia ndio term tuli-use
na kila kitu ika-go cool
rudia ndio neno tuli-use
na kila kitu ika-go cool

Verse 1 (Kenrazy)
manzi ananiita jo 
ananiambia kuja
siezi lenga mazee
mi naenda ka naruka
kufika manzi
mkono ashanivu-ta
ningefanyaje na ye ndio aliniita
njeve ni nyingi hata kutoa nguo ni shida
na manzi ana morale huku ashanivulia
siwezi ngoja manze juu enyewe naumia
nikampanda na nikaanza kuingia
akaskia akasema Kenrazy rudia 
na hakuwa ana-blush
except ka uko shy
wacha niskie ukisema rudia
Kenrazy rudia
Kenrazy rudia
Kenrazy rudia

Chorus
rudia ndio term tuli-use
na kila kitu ika-go cool
rudia ndio neno tuli-use
na kila kitu ika-go cool

Verse 2
(Kenrazy)

manzi mi nam-teach na anafurahia
huku manzi ana mate kwa mwili
sikubambika nikamwachia
chance ya dakika tano ya kutulia
nikavumilia huku ninaumia
nikakaa nika-think nikamwambia
enyewe hii si poa alafu jo tukarudia
(Kaya)
nakaa kwa bar
so nazungusha macho
wapi ntapata ni wapi narusha action
kuona booty sina budi narukia
kumbe ni dame ya Razy
amerudi kurudia
Kaya jogoo
na nimepata kakuku
na mchoro saa hii ni kupakata supuu
sabu blouse ni milky
thighs are tempting
nimejaa kwa jeans na vile purse ni empty
nikamchukulia punde si punde mabusu
nika-feel guilty sekunde kanusu
Razy hata-mind Kaya kula kwake
ingekuwa mi ningetaka tugawane
so nikapakua dishi nikadema
majasho na kuchafua bedsheets kuhema
na after crown jewels kulipuka kwa brain
nikarudia round two na kuzikuta again

Chorus
rudia ndio term tuli-use
na kila kitu ika-go cool
rudia ndio neno tuli-use
na kila kitu ika-go cool

Verse 3
(Kenrazy)

mazee jo sikulala
nilitoka straight bado nikaenda kusaka
bahati mbaya nilipata niliyemmanga
akanicheki
hakuamini akashangaa
akaniita nikaona hizo mapaja
macho hayana pazia nikaona mpaka mahaga
tukabonga jo alafu jo tukarudia
Jeri mtaani watu husema rudia manzi yangu kila night pia husema rudia
Yetu dame hutu-show tu rudia
Jomino yeah
na bado tunarudia
ni Kenrazy
Kaya
na tu-me-toka

Chorus
rudia ndio term tuli-use
na kila kitu ika-go cool
rudia ndio neno tuli-use
na kila kitu ika-go cool

You cannot copy content of this page