K-Soja – Siku Kumi Za Mgeni Lyrics
jamaa, hii ni ya wale wageni
wanajijua wenyewe tu
ati unatembelewa na mgeni siku ka kumi hivi
hizo siku kumi
amekam kukuletea shida ka milioni kumi jo
sa skia hii story jo
mgeni siku ya kwanza niaje niaje karibu jo
keja umeosha juu hautaki aibu jo
matress account umezama dish ya kuku jo
umefurahia sana mgeni amekuja huku jo
mgeni siku ya pili umechoma nyama siku mbili
mgeni anacheki deli na wee unasonga kaugali
kwanza mgeni, unakulanga pilipili
haukulangi? Sawa basi wacha niunde kachumbari
mgeni siku ya tatu, ushamlipia matatu
juu unajua it’s very, very bad ku-stay na msee na hajui wale watu
unaitanga mabeste saa ile unakaa tu kwa keja haumalizangi viatu
carpet na socks ndio kitu una-buy kila saa tu
mgeni siku ya nne ameanza tabia zingine
ngotha na socks mwambie aweke mahali pengine
si kwa kamba ya curtain, anakuwangaje saa zingine?
mgeni siku ya tano mmeanza mvurugano
ume-buy kila kitu umebakisha shilingi tano
ya ku-buy nyanya ndio huyo mgeni amevuka nayo
mgeni siku ya sita ugeni wake umepita
sa anafaa kuosha vyombo na apigie duster
mgeni siku ya saba amekuwa bed grabber
goti kwa tumbo na kwa shingo makumbo amekukaba
kesho sofa ndio atalalia naye akijigamba
afunge virago arudi kwa baba
mgeni siku ya nane karibu tupigane
ana-show jirani ati mi sinanga any
ati mshahara yangu huwa chini ya ngiri nane
ndio maana mi hukula nyama mara moja kwa siku nane
mgeni siku ya tisa asha-expire visa
yake ya kukaa hapa juu ananiaibisha
ameshikwa live na mboch wa kina Lisa
mazee sa anaenda home tu kesho hivyo kabisa
mgeni siku ya kumi anasema “he’s attached to me”
anataka kukaa siku zingine ka kumi
siku zingine ka kumi? Haiezekani
umesahau jana karibu ufanye manzi yangu tuachane
ati ulim-show ulinicheki nikikatianga mama Janet
jam ume-buy umemaliza na siku moja
umepaka mkate asubuhi mchana umeshinda ukionja
kwanza sitaki kumbuka viatu zangu hukuwa umekuja nazo roundi ukaziharibu
ati ulikuwa unadai ni mikakati tu ya kujipima
hata hauna aibu
si kwanza ulisema ati hukulangi sukuma hufanya tumbo inakuuma
na hii wiki tunaanza mi naskuma na sukuma wiki
kwa hivyo unafaa kuishia juu mi sioni dalili za mchuzi
ebu kwanza ngoja
hiyo ni vest yangu una-pack kwa bag yako?
toa, toa kila kitu kabla utoke hapo
yaani pia ngotha zangu mpya za cowboy ulikuwa umezisunda?
yaani, yaani mwiko na vijiko pia ulikuwa umenirusha?
kwenda kabisa!