Mizani – Wenyeji Lyrics

Chorus (Gaza)
Ukoo flani ndani ya lab na mizani
Ukituona ndani ya club, samahani
Hawa ma-groupic ndani ya fani namna gani
Tukipatana ndani ya club, ho, niaje
Tukipatana ndani ya slum, bro niaja
Tukipatana ndani ya club, ho niaja
Ukoo flani ndani ya lab na mizani
Wakituona ndani ya slum, Ukoo flani

Verse 1
Echo mbili nasita
Nashika, nazika, naandika
Mistari, mizani,methali,mizani,
Ulidhani ni nani
Amekuja kubadili
Family zote za ghetto
Na mental viendo, minendo
Hebu punguza
Mapupa za media
Kipindi ya
M.A.U double
Penye siustruggle
Kupita through milango
Za dancehall
Ni jasho za dando
Iwe hardcore ama commercial
Tuko macho,macho
Uncle nipe heshima
Lazima, hustler atashiba
Kabla alipe keja,keja
Afadhali awe kilema, kilema
Kabla ulale jela
Msema, tingikana mabega
Kubali wee ni member,member
Wahenga walisema
Mgema akisifiwa
Lazima utazidiwa

Chorus (Gaza)
Ukoo flani ndani ya lab na mizani
Ukituona ndani ya club, samahani
Hawa ma-groupic ndani ya fani namna gani
Tukipatana ndani ya club, ho, niaje
Tukipatana ndani ya slum, bro niaja
Tukipatana ndani ya club, ho niaja
Ukoo flani ndani ya lab na mizani
Wakituona ndani ya slum, Ukoo flani

Verse 2
Soma dibaji ya wenyeji inasemaje
Soma gazeti za dandora zinasemaje
Uko kwa mikono za polisi utahepaje?
Umekutana na jambazi , si ujikate
Ukoo flani wa kibandani isijishashe
Kama una godi na ki-lighter si uiwashe
Zikusanye
Usijibanze
Heri ujikaze
Wasikupate
Ni mapema inabidi ujipange
Hawa mafala hawataki si tumange
Nipate kwa club, lazima wajirushe
Tupate slum ,lazima tuwakilishe
Tupate kwa show, lazima ujulishwe
Ni hip hop, ni hii song
Hai- distort hii single(ni nini)
Ni legal, ni lethal ilivyo
Uk double O MAU, dabo

Chorus (Gaza)
Ukoo flani ndani ya lab na mizani
Ukituona ndani ya club, samahani
Hawa ma-groupic ndani ya fani namna gani
Tukipatana ndani ya club, ho, niaje
Tukipatana ndani ya slum, bro niaja
Tukipatana ndani ya club, ho niaja
Ukoo flani ndani ya lab na mizani
Wakituona ndani ya slum, Ukoo flani

Outro
Kama umeshikwa na ma-gova mitaani
Kama umekutwa ukikunywa hadharani
Soma dibaji ya wenyeji inasemaje
Kama umekutwa ukilala darasani

Soma gazeti ya Dandora inasemaje
Ukoo flani kibandani usijishashe  
Ukoo flani kibandani usijishashe

You cannot copy content of this page