G-Kon feat Mimmo – Mapenzi Lyrics
VERSE 1 LYRICS:
Si hiyo Friday ilikuwa tuende date
ukakuta nimekunywa nikistagger very late
isitoshe nikaanza kukutusi
nikisema we hutoshi nikadai heri p***y
siwezi shinda nikipiga roho yako daily
na nikikuja unaniita baby
kwanza msupa ka we unafaa kucheza vile inafaa
sasa vile nimetokelezea, wakati wowote utapotelezea
na utulie ka husemi nitakupangusa machozi
na ka maua, nishakubandika rossy
kia time kwetu itakuwa date
utatupata tuko maji ka wase wako kwa lake
…
CHORUS LYRICS:
Mpenzi we, siwezi jibalisha
najazwa na mafikira
sijui kile cha kufanya
na kama ni mapenzi we
siwezi jibadilisha
najazwa na mafikira
siwezi mimi kukuwacha
VERSE 2 LYRICS:
Nakumbuka siku ya kwanza tulipatana kwa basi
ukanishow we uko single ju uliwachana na Ali
nikakupiga kiswahili ukasema nimewahi
mi sina job nina kibarua
nitku-take na hii kibarua
ona kila siku vile maisha inakuwa ngumu
unaenda aje sana kwani una maisha sugu
ukiendelea najua tutafunga ndoa
na ninajua mimi niwewe nitaoa
CHORUS LYRICS:
Mpenzi we, siwezi jibalisha
najazwa na mafikira
sijui kile cha kufanya
na kama ni mapenzi we
siwezi jibadilisha
najazwa na mafikira
siwezi mimi kukuwacha
VERSE 3 LYRICS:
Haya mapenzi yanichanganyisha
nilipata ndoto jana, mi nawe katengana
ju mpenzi ulitaka nibadilike na siwezi
CHORUS LYRICS:
Mpenzi we, siwezi jibalisha
najazwa na mafikira
sijui kile cha kufanya
na kama ni mapenzi we
siwezi jibadilisha
najazwa na mafikira
siwezi mimi kukuwacha