Chameleone- Badilisha Lyrics

Intro

I got to go, badilisha
And let you go…
I got to go, badilisha

Chorus

Unaniumiza sana ninateseka
Ndani moyoni mimi naumwa
I got to go, kangende
And let you go, sitaweza
Nimevumilia sana, hutaki change,
Naona umeshindwa, kubadilisha
I got to go, kankupowe
And let you go, mukwano onumya
X2

Verse 1

Pete ya harusi ninayo kidole
Nilikupenda but baby sorry,
Utapata mwengine don’t you worry… ahaaa!
Watoto tumezaa tunao tayari
Tulipanga mi na we mileli
Lakini ni nini nini unanichanganya
Maisha wote wawili tulipanga
Shida ni nyingi hatujakosana
Haingekua hivi unapendwa, na hupendi
Mpenzi tu’achane na hivyo hilivyo

(Chorus)

Verse 2

Hi ni bahati unaempenda sana popote alipo
Aitwe tapeli, hajakula za muntu anakula zake zipo
Nipe changu na mi nikupe chako
Kama hunipendi hili ni vako
Pamoja tuende mu settle
Love me baby, I will love you back
Scratch my back, I will scratch your back
Not this way unapendwa, hunipendi!

(Chorus)

Verse 3

Tuliamua tuwe together, mimi na we tuwe forever
Ahadhi yetu, ya mimi nawewe na watoto wetu
Tupambane shida zote za nyumbani tuzimalize now!
Girl, every woman for a man
Love me, I love you back and that’s what ah gwan
Girl, it’s another tune done
Mi sing a bagga tunes and this one go along
Girl, never worry about it
Every time I come with a bag of sweetness
This one Paddyman, Chameleone and the music empire!

(Chorus)

Tagged

You cannot copy content of this page