Boomba Clan – Sina Habari Lyrics
Intro
naskia chipo kumbe tu ni viazi
ndio usinone basi kula kiasi
nenda kwa bahari umwambie Barry akupe habari
Chorus
nahisi kama
naishi ndani ya bahari (wazeiya)
sina habari
sina habari
nahisi kama
naishi ndani ya bahari (wazeiya)
sina habari
sina habari
Verse 1
I took my moti to a fake mechanic
katoa spare parts kaweka zingine
sasa gari napiga kelele
we are so far from reaching Kogelo
Barrack Obama
maybe Kogelo will soon be a city
Serena Williams si ni wa Kakamega
hizo masquembe haki ni za Mluhya
Chorus
nahisi kama
naishi ndani ya bahari (wazeiya)
sina habari
sina habari
nahisi kama
naishi ndani ya bahari (wazeiya)
sina habari
sina habari
Verse 2
nilikuwa mteja sitembei na simu
Kengen wameishiwa na stima(there’s no light)
Nairobi Water niliwafanya nini
siezi fua siezi osha mwili
naskia watu walishahesabiwa
ati sasa tunangoja El Nino
na hizi story zilifanyika lini
ati Mau alishakata miti
Chorus
nahisi kama
naishi ndani ya bahari (wazeiya)
sina habari
sina habari
nahisi kama
naishi ndani ya bahari (wazeiya)
sina habari
sina habari
ati sasa tunangoja El Nino
ati sasa tunangoja El Nino
mi sina habari
mi sina habari
naomba uniokolee
Chorus
nahisi kama
naishi ndani ya bahari (wazeiya)
sina habari
sina habari
nahisi kama
naishi ndani ya bahari (wazeiya)
sina habari
sina habari