Bamboo & Archapello – Tabia Mbaya Lyrics
Intro
situmefika kuwashika kwa spika (special dedication)
situmefika kuwashika kabisa (kwa mahaters, mko wapi?)
mi nimekuja tu kusalimia wazeiya niaje, niaje
unakumbuka jamaa mmoja toka Kariobangi
amefika kuwashika kwa maspika na kadhalika
mpaka Thika ameaminika na akiskika mnatibiwa
Verse 1
Niaje wadhii mi nimerudi kufanya kazi
mi ni Bamboo nipeni nafasi
mi niwapee marhymes kiasi basi asanteni sana
salamu kwa mabibi na kwa mabwana
leo ni leo sio kama jana
Bush akwende saa hii ni Obama
Bush kwanza hakupata Osama
tumekosana na huyu jamaa bana
anyway mimi nimefurahi kabisa
na vile nimerhyme nimerhyme kutisha
wale wanaleta compe kwa maikrofoni
wanaongea mchana wamelala jioni
wamevaa shades usiku hawanioni
mimi nimerudi jikoni niaje
Chorus
watu wengine wana tabia mbaya
watu wengine wana tabia mbaya sana
watu wengine wana tabia mbaya
watu wengine wana tabia mbaya sana
Verse 2
Verse 2 ni kali
we umekataa dame wako amekubali
wengine wamekaa wapi? mimi ni nani?
mi bado natafuta ugali na mali
na manzi na gari na vitu vikali
masuti mashati napiga marashi
klabu, maparty naingia ndani
kofia mpaka kiatu mi niko safi
yule yule MC wa Kariobangi
wakinisengenya mimi sijali
juu wale wanaongea si ni mafala
ati Bamboo hana mahali pa kulala
hana chapaa hananga dinga
kwanza ye ni bure sana ye ni mjinga
na bado anapenda kuringa
hata afadhali Jua Kali anajua kuimba
hizo ngoma zake siwezi nunua
hata akinipa bure siwezi chukua
haki huyo msee anafaa kudedi
halafu wakinicheki ni ka wamestedi
niaje Bamboo mi ni fan kabisa
album iko wapi mi ntalipa
show itakuwa lini si tutakamu
wazi Bamboo we ni wetu damu
wacha kunisumbua wacha kunisengenya
wacha kunidanganya wacha kuniboesha
Chorus
watu wengine wana tabia mbaya
watu wengine wana tabia mbaya sana
watu wengine wana tabia mbaya
watu wengine wana tabia mbaya sana
Verse 3
Mara beste yako anafanya dame wako
siste mara amelala na beste
wote wamekataa wamesema ni uongo
kumbe wote wamekudunga kwa mgongo
mi bado mi napenda kuhustle
juu bado Bamboo anajua kustruggle
bado mi hukula ugali skuma na nyama
bado mi hukunywa mala
bado mi narhyme kama nimetumwa na mama
juu bado maMC hukosana
bado nimevaa zile tees nilikuwa nimevaa jana
juu sikuzichafua sana
bado napenda mama, hepi, Obama
wasichana na mafans
bado nikiingia stage mtaskia mangoma
bado mtaona mahands
mikono juu
juu bado naitwa Bamboo
African Bomboo ni how*
bado ni K-South na ukileta compe bado
nakuambia wacha madharau bla
bado nimekuja kushika
hata kama nimefika bado sijabadilika
na bado mi hujua kurhyme
so tukionana tuheshimiane one time (one time)
Chorus
watu wengine wana tabia mbaya
watu wengine wana tabia mbaya sana
watu wengine wana tabia mbaya
watu wengine wana tabia mbaya sana
waandishi wa habari kuandika uongo
unafanya kazi kwa bank unaiba chapaa
unahanyahanya unajijua
unabonga vibaya kunihusu
unadunga mwenzako mgongoni
mi hunioni
hata kama si jioni
wanasiasa kudanganya watu
hamuskii Obama ameingia
Chorus
watu wengine wana tabia mbaya
watu wengine wana tabia mbaya sana
watu wengine wana tabia mbaya
watu wengine wana tabia mbaya sana