Ala C ft Kendi – Barua Lyrics
Verse 1
Nigekuandika barua kama hapo kitambo,
lakini sasa natumia nafasi ya wimbo nikueleze navyohisi, uwe mama wa watoto wangu
Nikueleze ninavyohisi, uwe dawa ya kutuliza uchungu,
Chorus
Wanaobonga, bonga-a-a, wambie si twasonga-a-a,

(Ala c)
Wa ambie twapendana, wa ambie twapendana,

(kendi)

o-o-o twapendana, twa sema twapendana,
o-o-o twapendana-a-a
verse 2
nime jaribu kupiga simu, number yako mteja,
nimejaribu kutuma rafike, kumbe hao ndio wanitenda, eti sifuanani na X wako, wachocha ata heri kuwafunga,
ukisikia huu wimbo, jua nimeandika juu yao,
Chorus
Wanaobonga, bonga-a-a, wambie si twasonga-a-a,
Wanaobonga, bonga-a-a, wambie si twasonga-a-a,
(Ala c)
Wa ambie twapendana, wa ambie twapendana,
Wa ambie twapendana, wa ambie twapendana,
Wa ambie twapendana, wa ambie twapendana,
(kendi)
Wa ambie twapendana, wa ambie twapendana,
o-o-o twapendana, twa sema twapendana,
o-o-o twapendana-a-a
Bridge
waseme-e, wakisema si twasonga,
wabonge, wakibonga si twasonga,
waseme-e, wakisema si twasonga,
wabonge, wakibonga si twasonga,
Chorus
Wanaobonga, bonga-a-a wambie si twasonga-a-a,