711 – 711 Lyrics

(Hook)
Ilikuwa ni saa ngapi? Kitu 711 Street 711.
Nini ilitokea?Watu 711..After hapo alitokea na hakuwahi kutokea *2

Verse 1 (Evaredi)
Mara ya mwisho kumwona ilikuwa ni ijumaa
Alikuja kejani ndio abadili mavazi
Avae ile simple ya kuparty
Rubber T-sho na pia kajinare
Akavaa sweta juu ya baridi ngware
Akadai haina haja jo tulale
Juu keshowe alikuwa aende moyale
Tukapitia hoteli akaitisha nyama,na pia fish,hakusahau ugali
After hapo tukajibanza pale,akaseti mawadada ndio tins ziwe shware
Tukapanda mat mi nkalipa mbao ye akapanda sare,kiordinary

(Hook)

Ilikuwa ni saa ngapi?Kitu 711 Street 711.
Nini ilitokea?Watu 711..After hapo alitokea na hakuwahi kutokea *2

Verse 2  (Iannoh 711)
After pale kujua kumbe ndiye snitch na mwizi mtaani
Hata karao amewashow mabase mtaani
Siku hizi watu mission hawamtaki
Kwa gava lazma huyu fala atakushtaki
Alifeel mablow zikisting design ya mkuki sura imeturn black design ya msudi
Ati oooh ilikuwa ni joni alituset 
Anawachapa kata design ya nacet 
Na amekuwa akiwaplay design ya casset
Ndio sasa amedoze bila life
Mtaani ntoi na wife
Anaona malaika na cladi za white
Soul yake kwa hewa ka kite it was on a 711 night

(Hook)

Ilikuwa ni saa ngapi?Kitu 711 Street 711.
Nini ilitokea?Watu 711..After hapo alitokea na hakuwahi kutokea *2

(Outro)
Dj infidel…G-ganji…Evaredi….711…..711 the night


Note: 711 is a rap group formed in JKUAT by Iannoh,Alkatraz and Boi phosa.Their first mxtpe named ‘The J-town Chronicles” is out and on sale

You cannot copy content of this page