Colonel Mustafa – Ogopa Anthem Lyrics

Colonel Mustafa – Ogopa Anthem Lyrics

Bridge
Kama unataka kusikia karibia
Mambo makubwa nawapatia this year

Chorus
Huu mwaka, Ogopa is moto
Kando ni Mustapha
Huu mwaka ni massacre
Huu mwaka 
cheza tu, cheza tu
Zikishika wika ooh, Zikishika wika ooh

Huu mwaka, Ogopa is moto
Kando ni Mustapha
Huu mwaka ni massacre
Huu mwaka 
cheza tu, cheza tu
Zikishika wika ooh, Zikishika wika ooh


Verse 1
Ngoma imeanza kila mtu hebu stand up
Mi ni mtamu na bado huwezi catch up
Colonel niite money maker
Nisha-marry kapuka, in-laws ni Ogopa
Hii ni takeover
Miaka zimepita bado nakumbuka E- Sir
Jua limewaka hakuna kulala
Ni kama nime-chew gomba na kahawa
Hii ni massacre

Bridge
Kama unataka kusikia karibia
Mambo makumbwa nawapatia this year

Kama unataka kusikia karibia
Mambo makumbwa nawapatia this year

Chorus
Huu mwaka, Ogopa is moto
Kando ni Mustapha
Huu mwaka ni massacre
Huu mwaka 
cheza tu, cheza tu
Zikishika wika ooh, Zikishika wika ooh

Huu mwaka, Ogopa is moto
Kando ni Mustapha
Huu mwaka ni massacre
Huu mwaka 
cheza tu, cheza tu
Zikishika wika ooh, Zikishika wika ooh

Verse 2
Unaonaje MC nikikupita this year
I’m so serious muziki imeenda shule
Na-shine kwa mtaa ka post ya stima
Huwezi kunizima niko juu ka twiga
Aluta continua hakuna kurudi nyuma
Kando ya redio
Nikuchape na single
Kando ya TV nikuchape na video
Snitch naku-kill na beat ya Ogopa 

Bridge
Kama unataka kusikia karibia
Mambo makumbwa nawapatia this year

Kama unataka kusikia karibia
Mambo makumbwa nawapatia this year

Chorus
Huu mwaka, Ogopa is moto
Kando ni Mustapha
Huu mwaka ni massacre
Huu mwaka 
cheza tu, cheza tu
Zikishika wika ooh, Zikishika wika ooh

Huu mwaka, Ogopa is moto
Kando ni Mustapha
Huu mwaka ni massacre
Huu mwaka 
cheza tu, cheza tu
Zikishika wika ooh, Zikishika wika ooh

Verse 3
Kama zawakwachu basi
Wacha niwaskie mkisema (ee-huu)
Kama zawakwachu basi
Wacha niwaskie mkisema (ee-huu)

Kama zawakwachu basi
Wacha niwaskie mkisema (ee-huu)
Kama zawakwachu basi
Wacha niwaskie mkisema (ee-huu)

Huu mwaka wata (shh)
Haters wata (shh)
Hamniwezi niko highway na speed one eighty eight
Huu mwaka wata (shh)
Haters wata (shh)
Hamniwezi niko highway na speed one eighty eight

Chorus
Huu mwaka, Ogopa is moto
Kando ni Mustapha
Huu mwaka ni massacre
Huu mwaka 
cheza tu, cheza tu
Zikishika wika ooh, Zikishika wika ooh

Huu mwaka, Ogopa is moto
Kando ni Mustapha
Huu mwaka ni massacre
Huu mwaka 
cheza tu, cheza tu
Zikishika wika ooh, Zikishika wika ooh

Huu mwaka
Tutawapa mahewa

You cannot copy content of this page