XYZee – Juu Yako Lyrics

Verse 1
I can’t believe unani-treat ni kama sina feelings
unanivunja roho yangu
nimekupatia kila kitu unahitaji
unanitesa bure tu
you’re my everything you’re my all
I give you everything I give you my all
you’re the only thing that means everything to me
to mee…
sitaki kupotea
sitaki kuishi bila wee
sitaki kuendelea
nitakufa bila wee
tu-go back mami 
turudie hizo day
when life was so sweet and everything was easy

Chorus
Kazi nazofanya ni juu yako
mateso nayopata ni juu yako
maisha nayoishi ni juu yako
pesa natafuta juu yako
chochote nachofanya ni juu yako
masomo nayosoma ni juu yako
vita napigana juu yako
matusi natusiwa juu yako

Verse 2
naogopa kuongelesha juu sijui utasema nini
mdomo wangu umeufunga
naogopa kukugusa juu sijui utafanya nini
mikono yangu umeifunga
nafanya juu chini
kukupa mapenzi
lakini juhudi 
zangu huzitambui
huzitambui
na juu yako girl
naishi juu yako
hau-need kuuliza juu unajua mimi na-care
nimefanya vitu hakuna mwingine anaweza dare
siku zangu maisha yangu niko hapa tu
kila mtu mwingine anakuja second sababu yako tu

Chorus
Kazi nazofanya ni juu yako
mateso nayopata ni juu yako
maisha nayoishi ni juu yako
pesa natafuta juu yako
chochote nachofanya ni juu yako
masomo nayosoma ni juu yako
vita napigana juu yako
matusi natusiwa juu yako

Verse 3
tumetoana mbali mimi na wewe
hivo sioni kwa nini huniamini
mbona basi tusicheze
nilidhani kukupenda itakuwa easy
mbona basi tusicheke
sitaki kupotea sitaki kuishi bila wee
sitaki kuendelea nitakufa bila wee

Chorus
Kazi nazofanya ni juu yako
mateso nayopata ni juu yako
maisha nayoishi ni juu yako
pesa natafuta juu yako
chochote nachofanya ni juu yako
masomo nayosoma ni juu yako
vita napigana juu yako
matusi natusiwa juu yako

You cannot copy content of this page