Wakimbizi ft. Kleptomaniax (Collo, Roba), Ulopa, The Bugz (VBO, Bobby Mapesa), Fundi Frank and Jerry Joe – Jogoo Remix Lyrics

Intro
Wakimbizi na majogoo
this is a remix
ni Wakimbizi
Remix
c’mon jogoo Collo

Verse 1(Collo)
haskii la modhini wala mteka maji msikitini
jogoo wa mashambani ameshawika mjini
ameshafika maskini
ninawashika juu ya beat
choose kuku maji moto
kando nyoa na Veet
king wa rap umundu strong na 
king wa pop
mi ni mluhya na napenda kumanga
ingoho
Collo boss dame high class ndio kind of wife
jogoo cock so live on this side of life

Jogoo Roba!
I say ningekuwa jogoo ningependa ku-roam
kuskia ubao nadishi leaves na ndom
kuku style ingekuwa official
wee dance ukiweza royalties unilipe
singetaka kufungua kamba
ningetaka kufanya kazi tu na waganga
niinue shoka ndani ya door
whether ni bob, ashu, blu, thao ama soo

Chorus (Ulopa)
ningekuwa jogoo jogoo wee
nadhani ningepata yule dame mi nataka
ningekuwa jogoo jogoo wee
ningekuwa nakimbiza mpaka mimi nakamata
ningekuwa jogoo jogoo wee
nadhani ningepata yule dame mi nataka
ningekuwa jogoo jogoo wee

Verse 2 (The Bugz)
VBO 
mi sitamani kuwa jogoo 
juu me myself and I tayari ni jogoo
mi si jogoo ya ushago
mi ni jogoo ya mtaa naitwa VBO
mbona madame waniita ki-kigorilla
ni juu mi huwaamsha ki-kibanana
kikipikana ya-ya maana
ndio maana mi huwanga na wa-wasichana
madame kwangu ni ka kwenda soko
kuchagua napima si zile ndogo
zimejaza suruali na madondo
hakuna time ya maswali niko mgongo
majike wote wangu wako na alama
tatoo ya VBO strong imesimama
sa nikikuona na dame yangu una-climb ladder 
nakutoa rubber niwadandie na rubber

Jogoo Bobby Mapesa!
itanibamba jo
saa hiyo nikikutana nayo mi nayo au sio
naipanda jo
nam-show sisi ndio ma-leader
kwa kuku hakuna FIDA
ya kunikinda
nikivua rinda 
ukidinda
nibaki mazee mimi kwa shida
bado mimi ka jogoo 
makuku ziko fogo
makuku wandogo wako kibao
mgitaji macho kwa kisogo
kwenye kuenda kupiga round yangu mwenda
mambo ya oh, eh sijui nakupenda
zipungu-ze nataka mi kuenda
aki-blender tarehe kwenye kalenda
mi nishastedi hakuna cha baby
paka ishapita kwa kill
ka eveready
oh my
nikishawai kuwahi mimi nadai sikai

Chorus (Ulopa)
ningekuwa jogoo jogoo wee
nadhani ningepata yule dame mi nataka
ningekuwa jogoo jogoo wee
ningekuwa nakimbiza mpaka mimi nakamata
ningekuwa jogoo jogoo wee
nadhani ningepata yule dame mi nataka
ningekuwa jogoo jogoo wee

ULOPA NGOMA!

Verse 3 (Mr. Filter)
ningekuwa jogoo ningefukuzana na Wahindi
Pinky Ghelani tu ningemtega mahindi
akienda kuuma nakamata mi navuta
naruka ninakanyaga kichwa nang’oa matuta
kila dame Kenya Tanzania Uganda ‘ngelitafuta
nibambike na Nimo Kameme simwachi Shiko
sidhani ningesahau Caroline Mutoko
Nyambane atoke nje KISS tufanye vituko
(Jerry Joe)
ningekuwa jogoo cheki vile nime-grow
singekuwa na aibu ninadunga ndani ya choo
jogoo wananiita Jerry Joe
napiga kokorikoo na ma-chicken zina-grow
ile natangulia mi nashika kwenye koo
sijali ni kiwete mi nafunga tu mabao
sijali ni kizee mi napiga dafrau
naweka guu juu mi napiga freestyle
(Fundi Frank)
ningekuwa jogoo
ningekuwa huru
mahanjam foko
everywhere ningezuru
wacha kuku danger
ningekuwa guru
hata makuku stranger
wangeshukuru
bila kukatiza
bila kunidhuru
bila giza kwa love
kila time nuru
bila kuagiza mafala wala ndururu
ni kupamisa bila kuogopa dhuru
(Mariko)
ningekuwa jogoo mapema ningerauka
saa kumi na mbili kisha mi naanza kuwinda
ningekuwa nahama ndani ya trouser iko ready
walimu wa shuleni ningewauma kwa paradi
ningekuwa jogoo ningekuwa ninapaa
place ninge-rest ingekuwa ndani ya bar
nirukie ma-waiter ma-stripper ma-bartender
nadhani kila dame angekuwa ananipenda

Chorus (Ulopa)
ningekuwa jogoo jogoo wee
nadhani ningepata yule dame mi nataka
ningekuwa jogoo jogoo wee
ningekuwa nakimbiza mpaka mimi nakamata
ningekuwa jogoo jogoo wee
nadhani ningepata yule dame mi nataka
ningekuwa jogoo jogoo wee

You cannot copy content of this page